Kwa sasa kipindi cha mahojiano cha kusikiliza ni Power Breakfast cha Clouds FM

Kwa sasa kipindi cha mahojiano cha kusikiliza ni Power Breakfast cha Clouds FM

Jana sikufanikiwa kusikiliza je swali la kubadilosha majina na mwaka wa kuzaliwa alijibu vipi?
 
Watanzania wote ni wale wale wakishateuliwa wanaunga mkono hoja. Ni afadhali watu wanaohoji waendelee kubaki huku ili waendelee kuhoji
Marvelous!! Una akili sana wewe! Hao wanaohoji wabaki hivyo hivyo! Tatizo wakiteuliwa wanakuwa Sio mabubu tu Bali vipofu na hata viziwi. Kisa eti kulinda Ajira! Wanakuwa WANAIGIZA kujifanya Vipofu yaani Hawaoni, Viziwi yaani Hawatasikia na pia Mabubu hawatasema.
Kwa Sasa nawapa HEKO zao akina Kp na "mwanasheria" wake Siza na Kwa Ujumla Team nzima ya Clouds fm na Itv katika vipindi vyao vya kuhoji, KEEP IT UP!! [emoji123]
 
Ni kweli kabisa mi huwa nasikiliza redio vipindi vya asubui lakini huwa nikitaka vitu vya msingi najua nitavipata power breakfast..

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa... Tatizo huku Mpanda Clouds hawapatikani tena sijui kuna shida gani, mpaka utumie redio ya kwenye TV...
 
Back
Top Bottom