Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo.
Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious.
Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko hata mafisadi yamepata pakutemea nyongo.Yaani imekuwa ngumu mno kusimama na kutetea hata ukisema mazuri yake buku anaibuka mtu anakwambia Jpm alimpiga bastola ben saanane hadi akaanza kutetemeka na siraha ikadondoka chini.
Nikweli yanasemwa mengi sana kuhusu ubaya wake na wengi wanasema alikuwa kichaa..... Ningependa hizi tuhuma zithibitishwe kwa ushahidi kama kweli jpm alienda kumbaka makamu wake akiwa kavaa pajama tupu kama mwandishi anavyosema na kwa kuwa makamu yupo aende akatoe ushahidi mahakamani kuwa kweli mimi makamu wake jpm alikuja na pajama akitaka kunibaka nami nikamwambia nitajihudhuru u makamu.
Tofauti na hapo hizi hoja hazina mashiko yoyote. Mimi siamini wala sikatai ila nitaamini na kukubali iwapo ushahindi utatolewa na kuthibitisha kuwa ni kweli aliua.
Nimeona Uzi wa Askofu mwamakula naye katema nyongo yake lakini bado hoja yake zinakoswa mashiko kama alijitoa muhanga ilikuwaje asiyaseme hayo yote kipindi hicho?
Nachojiuliza hadi sasa mbona utekaji na mauaji yamezidi kuliko hata kipindi cha jpm?