Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

Awamu hii ilipoingia ilitumia nguvu kubwa kumchafua marehemu. Sasa uchaguzi umekarinia wanaanza tena kutumia nguvu kubwa kumchafua Magufuli.
Hakuna cha maana walichofaya tangu waingie sada wanabaki kutumia mgongo wa JPM.
Watanzania wa sasa si wale wa miaka15 iliyopita jpm alituamsha usingizini mno mimi nikiwa mmoja wenu. Leo wa kuja kutulaza usingizi wa pono hayupo.
 
Kwani kuna uthibitisho wowote wametoa tofauti na tuhuma na stori za vijiweni? Halafu na wewe unaamini kabisa Magufuli anaweza kuua mtu kisa amekosoa PhD yake!!?
Nasubiri ushahidi ndo niamini vinginevyo ni story za na kutuona watz ni wajinga
 
Kwa wale ambao hawaamini yanayosemwa kuhusu "mpendwa" wao,waandae nyuso na roho zao kuvurugwa zaidi na zaidi.Mbona mambo bado kabisa!?
 
Yaani kuibuka na pajama ucku nyumbani kwa makamo - aisee tulitawaliwa na mgonjwa bila kunijua...laah
asante Kabendera kwa kitabu hiki umeliponya Taifa kwa kiwango kikubwa sana.

Sasa rasmi familia za Ben saa 8 na Azory zinaweza kumalizia misiba.
Ulikuwepo kipindi jpm anaenda na pajama? huyo makamo hakuwa na mme inaingia akilini uende na pajama bila taarifa kwenye mji/makazi ya mtu?
 
Back
Top Bottom