Hata Mimi ningekuwa kwenye nafasi yake ningefanya alivyo fanya...kwa usalama wa Nchi, he did all his best.
Kuthibitisha kwamba madai ya Kabendera ni uongo wa kupangwa na pengine ametolewa kafara na kundi fulani ambalo ni chafu lakini linataka kujisafisha kwa kuwatumia watu nature ya Kabendera, ninaamini "Wengi waliokuwa Loyal kwa Magufuli ( tunawajua, Sina sababu ya kuwataja) Kwa sababu ya uwoga, wasingeendelea baada ya kifo chake, lakini tunaona waliomjua kiundani walimpenda zaidi, hasa wale wafuasi wa maendeleo"...
Kwa kweli kabisa, Magufuli hakukosea, ni kiongozi niliyevutiwa naye na itadumu hivyo regardless propaganda hizi ambazo wengi wa wanaojiita wasomi hapa wanapeperushwa nazo kila uchao as if the guy did nothing at all..alilipenda taifa mno...niseme tu, kama kuna mtu ni tishio kwa usalama wa taifa, usalama wafanye kazi yao, afinywe kimyamya na Amani iendelee...
Siku moja huyu Bwana nitamrudishia Legacy yake, anastahili heshima kuu sana.