Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

Awamu hii ilipoingia ilitumia nguvu kubwa kumchafua marehemu. Sasa uchaguzi umekarinia wanaanza tena kutumia nguvu kubwa kumchafua Magufuli.
Hakuna cha maana walichofaya tangu waingie sada wanabaki kutumia mgongo wa JPM.
Mzee alijichafua mwenyewe. Haya ni marudio tu ya mule alimopita
 
Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo.
Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious.

Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko hata mafisadi yamepata pakutemea nyongo.Yaani imekuwa ngumu mno kusimama na kutetea hata ukisema mazuri yake buku anaibuka mtu anakwambia Jpm alimpiga bastola ben saanane hadi akaanza kutetemeka na siraha ikadondoka chini.

Nikweli yanasemwa mengi sana kuhusu ubaya wake na wengi wanasema alikuwa kichaa..... Ningependa hizi tuhuma zithibitishwe kwa ushahidi kama kweli jpm alienda kumbaka makamu wake akiwa kavaa pajama tupu kama mwandishi anavyosema na kwa kuwa makamu yupo aende akatoe ushahidi mahakamani kuwa kweli mimi makamu wake jpm alikuja na pajama akitaka kunibaka nami nikamwambia nitajihudhuru u makamu.

Tofauti na hapo hizi hoja hazina mashiko yoyote. Mimi siamini wala sikatai ila nitaamini na kukubali iwapo ushahindi utatolewa na kuthibitisha kuwa ni kweli aliua.

Nimeona Uzi wa Askofu mwamakula naye katema nyongo yake lakini bado hoja yake zinakoswa mashiko kama alijitoa muhanga ilikuwaje asiyaseme hayo yote kipindi hicho?

Nachojiuliza hadi sasa mbona utekaji na mauaji yamezidi kuliko hata kipindi cha jpm?
Kujibu hilo swali lako la mwisho, wanaofanya hivyo sasa ni masalia ya JPM.
 
Umelishwa propaganda na umejivika uwakili wa kinafki unaheshimika unajua?
Mimi nimeendika maoni yangu na namna nilivyokuwa na mkabali jpm. Hizo hoja zote bila ushahidi kwangu ni story tu na hazina mashiko yoyote.

Sijawahi tuma maombi humu kuwa niheshimike na wala sihitaji heshima za watu humu zitakazo niingilia hadi uhuru wangu wa kutoa maoni na dukuduku lolote nililo nalo mkuu.
 
Ktk watu walipotea walikuwa na maslahi gani ambayo wewe unahisi walikuwa nayo.

Mimi naona mafisadi alikuwa nao ofsini na kwenye mawizara, na mataaisi, hata alipoondoka aamebaki wapo tu na wataendelea kuwepo tu.

What a missed Target?
Sasa Kabendera au Lema alikuwa na maslahi gani kwenye sseikali ya ccm?
Mahakama ya uhujumu uchumi imemhukumu Fisadi gani zaidi ya kutumia kutesea watu tena wasio na madhara yoyote.

Askofu Kakobe alikuwa na maslahi gani?
Tanzania tunabahati mbaya sana tunapata Rias Shupavu kama Magufuli lakini Ghafla bin vuu anakosa mwelekeo na kuanza kupamba na watu binafsi badala ya lengo
wao ndo wanajua maslahi yao yalikuwa wapi. halafu hizo zote ni story zilizokoswa mashiko. Mbona hadi leo watu wanauawa na kutekwa mchana kweupe kama kuku? Badala ya kuongelea haya yaliyopo mpo busy kufukua kabuli la jpm ambae hana habar na sisi tena.
 
Mimi nimeendika maoni yangu na namna nilivyokuwa na mkabali jpm. Hizo hoja zote bila ushahidi kwangu ni story tu na hazina mashiko yoyote.

Sijawahi tuma maombi humu kuwa niheshimike na wala sihitaji heshima za watu humu zitakazo niingilia hadi uhuru wangu wa kutoa maoni na dukuduku lolote nililo nalo mkuu.
Kama hoja zilizoletwa bila ushahidi bado ni Story tu kwako. Mbona heading yako imegeneralize kwa kusema kumtetea ni ngumu. Kwanini ulihitimisha kusema hivyo. Acha kujichanganya sasa. Nielewe nachokisemea
 
wao ndo wanajua maslahi yao yalikuwa wapi. halafu hizo zote ni story zilizokoswa mashiko. Mbona hadi leo watu wanauawa na kutekwa mchana kweupe kama kuku? Badala ya kuongelea haya yaliyopo mpo busy kufukua kabuli la jpm ambae hana habar na sisi tena.
Sasa umeelewa kwamba wanaouwawa wala sio wanaostahili maana mafisadi wako humohumo. Umesema watu wanaendelea kuuaqa kama utetezi wako kwa mzee. Je huu uuaji unatija yoyote? Kuna kitu tumenufaika nacho kama taifa? Je tuendelee kuuwana tu?
 
Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo.
Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious.

Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko hata mafisadi yamepata pakutemea nyongo.Yaani imekuwa ngumu mno kusimama na kutetea hata ukisema mazuri yake buku anaibuka mtu anakwambia Jpm alimpiga bastola ben saanane hadi akaanza kutetemeka na siraha ikadondoka chini.

Nikweli yanasemwa mengi sana kuhusu ubaya wake na wengi wanasema alikuwa kichaa..... Ningependa hizi tuhuma zithibitishwe kwa ushahidi kama kweli jpm alienda kumbaka makamu wake akiwa kavaa pajama tupu kama mwandishi anavyosema na kwa kuwa makamu yupo aende akatoe ushahidi mahakamani kuwa kweli mimi makamu wake jpm alikuja na pajama akitaka kunibaka nami nikamwambia nitajihudhuru u makamu.

Tofauti na hapo hizi hoja hazina mashiko yoyote. Mimi siamini wala sikatai ila nitaamini na kukubali iwapo ushahindi utatolewa na kuthibitisha kuwa ni kweli aliua.

Nimeona Uzi wa Askofu mwamakula naye katema nyongo yake lakini bado hoja yake zinakoswa mashiko kama alijitoa muhanga ilikuwaje asiyaseme hayo yote kipindi hicho?

Nachojiuliza hadi sasa mbona utekaji na mauaji yamezidi kuliko hata kipindi cha jpm?
Dkt Magufuli hahitaji mtu wa kumtetea, wananchi tunamuelewa jinsi alivyokuwa mzalendo. Kila anayenyenyuka kumkashifu laana inamhusu.
 
Amabae alikuwepo na aliyeeona alete ushahidi hapa tofauti na hapo bado zinabaki story na mauzo ya kuwatapeli wajinga.
Katika kusoma kwetu tumesoma. Vitabu vingi hadi leo hakuna siku uliwahi kuhoji uhalali wa maandiko.hayo na kudai ushahidi. Why leo?
 
Mshamba mmoja Tu huyo.ana watoto wa kike na ana mke.akifa Leo mkewe anaitwa Nani? Na laana za mumewe zitamtesa Sana na wanae.hii dunia unaweza kudhihaki utu WA mtu kweli?.kuna watu walibakwa,wengine Baba watoto walifariki etc
Muache Tu huyu
Maana ya singo maza uliyoileta hapa ni tofauti kabisa na tunayoijua sisi miaka nenda rudi.Mwanamke akifiwa na mmewe anaitwa mjane wala hakuna uzi humu umewahi ongelea kwa kuwananga wajane. Humu wanaongelewa dada zetu wanao zalia nyumbani wanajiuza na kupata mimba walio achana na waume zao kwa sababu za tamaa zao binafisai na wengine wa namna hiyo ....
 
Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo.
Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious.

Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko hata mafisadi yamepata pakutemea nyongo.Yaani imekuwa ngumu mno kusimama na kutetea hata ukisema mazuri yake buku anaibuka mtu anakwambia Jpm alimpiga bastola ben saanane hadi akaanza kutetemeka na siraha ikadondoka chini.

Nikweli yanasemwa mengi sana kuhusu ubaya wake na wengi wanasema alikuwa kichaa..... Ningependa hizi tuhuma zithibitishwe kwa ushahidi kama kweli jpm alienda kumbaka makamu wake akiwa kavaa pajama tupu kama mwandishi anavyosema na kwa kuwa makamu yupo aende akatoe ushahidi mahakamani kuwa kweli mimi makamu wake jpm alikuja na pajama akitaka kunibaka nami nikamwambia nitajihudhuru u makamu.

Tofauti na hapo hizi hoja hazina mashiko yoyote. Mimi siamini wala sikatai ila nitaamini na kukubali iwapo ushahindi utatolewa na kuthibitisha kuwa ni kweli aliua.

Nimeona Uzi wa Askofu mwamakula naye katema nyongo yake lakini bado hoja yake zinakoswa mashiko kama alijitoa muhanga ilikuwaje asiyaseme hayo yote kipindi hicho?

Nachojiuliza hadi sasa mbona utekaji na mauaji yamezidi kuliko hata kipindi cha jpm?
Mzalendo yeyote hawezi ona haya kumtetea JPM wanaomchafua magufuli ni Wezi, wazembe, mafisadi na wapigadili wengine
 
Kama hoja zilizoletwa bila ushahidi bado ni Story tu kwako. Mbona heading yako imegeneralize kwa kusema kumtetea ni ngumu. Kwanini ulihitimisha kusema hivyo. Acha kujichanganya sasa. Nielewe nachokisemea
Ni ngumu ndio. Watu wana jumuisha matukio ya kipindi hicho na kilichoandikwa kwenye kitabu na wanasadiki na kuamini wee unadhani kutakuwa na urahisi hapo kwa watu kama hao?
 
Back
Top Bottom