Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

Akili zako ndogo kama .......vi
Unamteteaje mtu aliyekwisha kufa!?
 
Hawa single mam mmevuka nao mwaka🤔😀
 
maana tulivyonavyo nchini si Vyama Bali ni magenge ya wenye akili
Huu ni ukweli unaouma sana...
Alafu mkuu kila mtu ana akili, lakini hao unaowaita wana akili ni kwamba ni wapumbavu, maana akili hata mimi ninazo ila hayo ni mapumbavu tu kama wapumbavu wengine...
Watu kama wale wenye nafasi kubwa serikalini hakuna faida inayowafanya wapige makelele tofauti na kujifaidisha wenyewe,
sizani kama wanafanya vile kusaidia nchi, hii ni HAPANA KUBWA.
Ni kujifaidisha na magenge yao tuu
 
Mimi sio mfuasi wa CCM wala chadema, hayo ni magenge, lakini kuna watu wanachapa kazi vyamani, kinachowabadilisha ni tamaa za pesa na kutii amri za vyama unapofika muda wa ufisadi...
Maskini wengi waliokuwa wachapakazi ndio walimpenda Magufuli, mafisadi 90% yalimchukia
 
Hata mseme nini siwezi amini lolote. Magufuli was the best.
Kweli kabisa, Hakuna Rais aliefanya Mapinduzi makubwa kiuchumi nchini na kuwaamsha wananchi kama Magufuli, toka mimi nizaliwe naziona shida, lakini mzee kaingia madarakani akafumua mirija ya Majitaka
 
Mafisadi ndo yalimchukia kwa 100%
 
Hata Yesu aliambiwa ni mhalifu licha ya kuonekana waziwazi ni mtakatifu lakini wakamuua sembuse binadamu wa kawaida JPM!? Ukitaka uonekane mmbaya fuata haki utapigwa mawe kuliko jambazi au gaidi.
 
Kweli kabisa, Hakuna Rais aliefanya Mapinduzi makubwa kiuchumi nchini na kuwaamsha wananchi kama Magufuli, toka mimi nizaliwe naziona shida, lakini mzee kaingia madarakani akafumua mirija ya Majitaka
Hao waliobakwa watajua wenyewe. Sisi tunachojua ni kwamba nchi iliendeshwa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…