Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #161
Sijakisoma hicho kitabu lakina kila kona ya wanao kijadiri kitabu hiki na hilo linasemwa kwa maana hiyo kweli kaandika"Kaandika Magufuli alimbaka binti yake mwenyewe wa miaka 16, akamuambukiza HIV, kisha akampiga mpaka kumuua, ikafichwa."
Kabendera kaandika haya kwenye hicho kitabu????
Mwanzo kuna sekunde kadhaa ziko kimya, nilikuwa nauliza umeishia sekunde ya ngapi bila sauti ili nijue umesikia haina sauti kwa sababu ya hizo sekunde chache za mwqnzo au una tatizo lingine?Toka mwanzo haina sauti, au hadi nifungulie YouTube
Kaandika mkuu, kwenye utata kaweka mpaka footnotes kufafanua, soma."Kaandika Magufuli alimbaka binti yake mwenyewe wa miaka 16, akamuambukiza HIV, kisha akampiga mpaka kumuua, ikafichwa."
Kabendera kaandika haya kwenye hicho kitabu????
HayaMwanzo kuna sekunde kadhaa ziko kimya, nilikuwa nauliza umeishia sekunde ya ngapi bila sauti ili nijue umesikia haina sauti kwa sababu ya hizo sekunde chache za mwqnzo au una tatizo lingine?
Jaribu kufungulia Youtube. Lakini ina sauti. Mimi napata sauti. Tatizo lipo kwako
Hao ni wachumia tumbo ambao miaka kabla ya JPM walikuwa wanakula makombo, JPM akakata line ndio ugomvi ulipoanzia. Sasa hivi wanakula makombo na wengine wanakula kuliko wenzao ndio huu ugomvi unaousikia sasa hivi huko upinzani. Ni wachumia tumbo tu hakuna mpinzani hapoMoja ya kitu ambacho nime observe Kwa hii miaka mitatu/minne ya awamu mpya a.k.a awamu ya sita
Wapinzani ni kama vile Bado wanaumizwa sana na marehemu kuliko hata mambo yanayoendelea kwenye awamu hii, na Cha kushangaza zaidi wanamlaumu marehemu hadi kwenye huu utekaji unaoendelea.... Yaani utafikiri labda marehemu Bado yupo hai.
Mpaka Kuna muda Huwa nahisi Hawa wapinzani shida Yao sio ccm bali shida Yao ilikuwa ni Magufuli tu, na upo uwezekano mkubwa sana walikuwa wanatumika isipokuwa Magufuli akawa ni kikwazo kikubwa sana kwao.
Wale wapuuzi wa haki za binadamu unawasikia sasa hivi?Ndio maana Mimi nikiskiaga Hawa haters wa Magufuli wakijustify chuki zao Kwa kusema eti eti ooh alikuwa muuaji, mtekaji mara sijui alikandamiza demokrasia na vijisababu vingine kama hivyo..... Najua hakuna kitu hapa na uongo mtupu.
Wengi wanaomchukia Magufuli ni Kwa sababu zao zingine kabisa ambazo ni binafsi na wala sio Kwa udikteta wake au uminywaji wa haki za kisiasa... Wanamchukia sababu ya kuharibiwa maslahi yao baasi, SEMA hawawezi kuweka wazi badala yake watapindisha na kutaja hizo sababu zilizozoeleka basi.
Angalia Sasa hivi watu wanatekwa, watu wanapotea, ufisadi umekithiri, Katiba mpya Bado ni kitendawili lakini nguvu kubwa Bado imeelekezwa Kwa Magufuli, Tena watawala na wapinzani ni kama wameungana kumshambulia marehemu na kuziacha ajenda muhimu.
Ndio tujue kwamba nchi hii hakuna wapenda haki Wala wachukia ufisadi... Bali Kuna wapenda maslahi tu basi tu
Duu! sijakipata kitabu mkuu, nkipata ntasoma, Pandora box nyingine hii kwamba jamaa alikuwa Positive sasa hawa wanawake tunao skia ni wake kawaachaje? na hiyo hulka yake ya kubaka??Kaandika mkuu, kwenye utata kaweka mpaka footnotes kufafanua, soma.
Ni kupoteza muda na kujipa matumaini hewa yasiokuwa na kichwa Wala miguu, eti watanzania wanaweza kujifunza kupitia hicho kitabu Cha Kibendera ambacho kwanza hata lugha iliyotumika ni changamoto Kwa walio wengi, kitendo tu Cha yeye kutuma lugha ya kigeni kinaonesha wazi kwamba targeted audience yake ni nyie madiaspora na watanzania wachache sana waliopo nchini na sana sana amelenga kukiuza huko nje.Kama kweli kuna mabaya hayo aliyoyafanya Magufuli, taifa linaweza kunufaika kujifunza, kwa mfano, kuwa na vetting process kali watu wenye rekodi mbaya wasiruhusiwe na vyama vyao kugombea uongozi.
Kuhusu kumuandia Samia, inaonekana wewe mwenyewe hujaelewa maana ya maneno uliyoyaandika.
Umeandika hivi.
"Wapinzani ni kama vile Bado wanaumizwa sana na marehemu kuliko hata mambo yanayoendelea kwenye awamu hii,"
Kama unaona mambo yanayoendelea kwenye awamu hii yana umuhimu zaidi ya kumuandika marehemu, hujakatazwa na wewe kuyaandika, yaandike tu, tutanunua kitabu.
Kwa nini unalazimisha wengine waandike unavyotaka wewe wakati na wewe una uwezo wa kuandika unavyotaka wewe?
This is a false dichotomy fallacy, kwamba ukiandika mabaya ya Magufuli basi hujachukizwa na mabaya ya Samia.
Watanzania wengi wanafanya ujinga huu wa lazima uwe team Magufuli au team Samia, bila kujali kwamba kuna watu wengi wanaona wote wawili ni majanga, tofauti yule alifanya majanga huku akitukana, huyu anafanya majanga huku anarembua macho.
Kabendera kasema kaandika vitabu viwili, kingine kitatoka. Unajuaje hicho cha pili si cha Samia?
Hapana kabisa halafu Sasa na matukio ya mauaji, utekaji ubakaji ndio yemeshika kasi.Wale wapuuzi wa haki za binadamu unawasikia sasa hivi?
Huyo ni juha tu Mmoja hivi anayekua kuchesa na maneno na kukuleta kwenye mantiki anayoitaka yeye ndio mfanye mjadala...!!Kama unakubaliana nae tuleteeni ushahidi hapa sio lazima hadi tushitaki wakati hata kitabu hicho hajashurutishwa na mtu yeyote yule kukiandika vivyo hivyo alete na ushahidi bila shurti ili tununue kitabu kwa wingi
Sasa hivi hawatekwi na kuuwawa?Kwa maelezo ya mtoa mada nikuwa mtu akikuzidi kwa hoja unaamua kumtoa uhai.
Sasahivi aliowauwa wapo nae huko tena magu yupo motoni muda huu mbwa yule alijua kutesa watu .
Si kweli kwamba Watanzania wote hawajui Kiingereza, watu watakaokuja kuongiza nchi wengi wanajua Kiingereza. Kiingerwza ni lugha ya dunia, hiki kitabu kinaweza kuwa chachu nyingine ya watu kujua Kiingereza.Ni kupoteza muda na kujipa matumaini hewa yasiokuwa na kichwa Wala miguu, eti watanzania wanaweza kujifunza kupitia hicho kitabu Cha Kibendera ambacho kwanza hata lugha iliyotumika ni changamoto Kwa walio wengi, kitendo tu Cha yeye kutuma lugha ya kigeni kinaonesha wazi kwamba targeted audience yake ni nyie madiaspora na watanzania wachache sana waliopo nchini na sana sana amelenga kukiuza huko nje.
Pili watanzania kama ni kujifunza tu kuhusu kuchagua uongozi sahihi, utawala mbovu wa CCM ambao tumeuona Kwa muda WA miaka zaidi ya 60 ni fundisho tosha na wala hawahitaji kukumbushwa na hekaya za aina yoyote kwamba uongozi/kiongozi sahihi anatakiwa aweje, hivyo basi Kwa mantiki hii hicho kitabu Cha Kibendera ni bullcrap
Yes, wapinzani Bado wanaumizwa sana na Magufuli kuliko mambo yanayoendelea kwenye awamu hii ya Samia, wao kama wapinzani ambao wanajionaga ndio mbadala swa CCM lazima tuwaambie.....!!
Kumtaja taja Magufuli wakati hayupo hakutatui changomoto ya aina yoyote tunayokabiliana nayo leo hii, ni upumbavu kabisa.
Na hakuna mahali nimelazimisha mtu ajali Zaid mambo yanayoendelea kwenye awamu hii kuliko yaliyofanyika kipindi Cha magufuli,... Simpangii mtu yoyote, hata wewe ukitaka usifuatilie kabisa lolote linaloendelea leo hii na badala yake ukawa unatumia muda wako mwingi kufuatilia Magufuli alifanya Nini kwenye miaka yake 6 aliyokaa madarakani ni wewe tu, sikuzuiii.
Nimalize Kwa kusema huyo Kibendera kaandika hicho kitabu mbali na sababu za kibiashara, sababu nyingine ni kujipa relief yeye na wenzake wenye uchungu moyoni kama yeye.
Kwani ni wapi Mimi nimesema au nimeonesha kwamba watanzania wote hawajui kingereza??Si kweli kwamba Watanzania wote hawajui Kiingereza, watu watakaokuja kuongiza nchi wengi wanajua Kiingereza. Kiingerwza ni lugha ya dunia, hiki kitabu kinaweza kuwa chachu nyingine ya watu kujua Kiingereza.
Na pia, kitabu cha Kiswahili kinatayarishwa kitatoka karibuni. Kabendera kasema
Kuhusu CCM..
Hiki kitabu pia ni sehemu ya kuonesha ubovu wa utawala wa CCM. Kwamba CCM imempa kichaa funguo za Ikulu.
Huelewi wapi?
Kuhusu kumsema sana Magufuli, nimekwambia hata wewe unaruhusiwa kumsema unayemtaka, andika kitabu chako unavyotaka tutakisoma, tatizo liko wapi?
Kwanza hao wanaofaidi nchi Sasa hivi unafikiri hata Wana muda basi na hizi habari za Magufuli?Majitu mapumbavu sana haya. Nchi inaliwa na kikundi cha watu huku kinawalisha propaganda na yenuewe kama mazuzu yanashangilia tu.
Hao samaki wengi wasiooza nchi hii wanapatikana wapi?kuwa kiongozi wa watu zaidi ya milioni 60 sio kazi ndogo, inapobidi kuuwa wachache kwaajili ya wengi ni sahihi kama kiongozi. Kwajinsi nchi hii ilivyo kama nikweli basi Mungu atamsamehe Magufuli huko aliko kwa kuchomoa samaki wachache waliooza kwenye friji ili samaki wengi nao wasioze.
Lolote litakalosemwa kuhusu Magufuli haliwezi kufunika mazuri mengi aliyoyafanya kwenye nchi hii.
Kiingereza ni lugha ya dunia, jifunzeni, hakuna namna ya kukikwepa kama mnataka kuendeleza katika dunia hii.Kwani ni wapi Mimi nimesema au nimeonesha kwamba watanzania wote hawajui kingereza??
Wewe ndio hunielewi kabisa na ujuha wako.
Sina muda Wala Sina sababu ya kuandika kitabu chochote kumuhusu kiongozi yeyote, hiyo kazi utaifanya wewe na Kibendera.
Nini maana ya kuwapangia watu?Kiingereza ni lugha ya dunia, jifunzeni, hakuna namna ya kukikwepa kama mnataka kuendeleza katika dunia hii.
Kama huna muda na huna sababu ya kuandika kitabu chochote, usiwapangie waliotumia muda wao na sababu zao kuandika kitabu cha kumsema Magufuli waandike kitabu tofauti unachokitaka wewe.
Kama watu wnataka kumsema Magufuli kwa maovu aliyoyafanya, watamsema.Nini maana ya kuwapangia watu?
Ni neno gani nililosema Mimi hapo linaloashiria nimewapangia Nini Cha kufanya? Kama ni kuhusu wapinzani basi hiyo ni haki yangu kama mwanainchi kuwaambia hicho ambacho nimekisema....
Magufuli hayupo na kumsema sema kwa maovu aliyowahi kuyafanya au kumhusisha maovu yanayofanyika awamu hii, hakusaidii chochote kile zaidi ya kuwaonesha wao ni wajinga na hawana maono ..
Huyo Kibendera ni mpiga kelele tu huko ukimbizini na kelele zake hazina impacts yoyote Kwenye ustawi WA taifa.... Na mtakaeona amefanya la maana ni nyie wafuasi wake na wenye akili kama zake.