Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

"Kaandika Magufuli alimbaka binti yake mwenyewe wa miaka 16, akamuambukiza HIV, kisha akampiga mpaka kumuua, ikafichwa."

Kabendera kaandika haya kwenye hicho kitabu????
Sijakisoma hicho kitabu lakina kila kona ya wanao kijadiri kitabu hiki na hilo linasemwa kwa maana hiyo kweli kaandika
 
Toka mwanzo haina sauti, au hadi nifungulie YouTube
Mwanzo kuna sekunde kadhaa ziko kimya, nilikuwa nauliza umeishia sekunde ya ngapi bila sauti ili nijue umesikia haina sauti kwa sababu ya hizo sekunde chache za mwqnzo au una tatizo lingine?

Jaribu kufungulia Youtube. Lakini ina sauti. Mimi napata sauti. Tatizo lipo kwako
 
"Kaandika Magufuli alimbaka binti yake mwenyewe wa miaka 16, akamuambukiza HIV, kisha akampiga mpaka kumuua, ikafichwa."

Kabendera kaandika haya kwenye hicho kitabu????
Kaandika mkuu, kwenye utata kaweka mpaka footnotes kufafanua, soma.
 
Mwanzo kuna sekunde kadhaa ziko kimya, nilikuwa nauliza umeishia sekunde ya ngapi bila sauti ili nijue umesikia haina sauti kwa sababu ya hizo sekunde chache za mwqnzo au una tatizo lingine?

Jaribu kufungulia Youtube. Lakini ina sauti. Mimi napata sauti. Tatizo lipo kwako
Haya
 
Moja ya kitu ambacho nime observe Kwa hii miaka mitatu/minne ya awamu mpya a.k.a awamu ya sita

Wapinzani ni kama vile Bado wanaumizwa sana na marehemu kuliko hata mambo yanayoendelea kwenye awamu hii, na Cha kushangaza zaidi wanamlaumu marehemu hadi kwenye huu utekaji unaoendelea.... Yaani utafikiri labda marehemu Bado yupo hai.

Mpaka Kuna muda Huwa nahisi Hawa wapinzani shida Yao sio ccm bali shida Yao ilikuwa ni Magufuli tu, na upo uwezekano mkubwa sana walikuwa wanatumika isipokuwa Magufuli akawa ni kikwazo kikubwa sana kwao.
Hao ni wachumia tumbo ambao miaka kabla ya JPM walikuwa wanakula makombo, JPM akakata line ndio ugomvi ulipoanzia. Sasa hivi wanakula makombo na wengine wanakula kuliko wenzao ndio huu ugomvi unaousikia sasa hivi huko upinzani. Ni wachumia tumbo tu hakuna mpinzani hapo
Ndio maana Mimi nikiskiaga Hawa haters wa Magufuli wakijustify chuki zao Kwa kusema eti eti ooh alikuwa muuaji, mtekaji mara sijui alikandamiza demokrasia na vijisababu vingine kama hivyo..... Najua hakuna kitu hapa na uongo mtupu.

Wengi wanaomchukia Magufuli ni Kwa sababu zao zingine kabisa ambazo ni binafsi na wala sio Kwa udikteta wake au uminywaji wa haki za kisiasa... Wanamchukia sababu ya kuharibiwa maslahi yao baasi, SEMA hawawezi kuweka wazi badala yake watapindisha na kutaja hizo sababu zilizozoeleka basi.

Angalia Sasa hivi watu wanatekwa, watu wanapotea, ufisadi umekithiri, Katiba mpya Bado ni kitendawili lakini nguvu kubwa Bado imeelekezwa Kwa Magufuli, Tena watawala na wapinzani ni kama wameungana kumshambulia marehemu na kuziacha ajenda muhimu.

Ndio tujue kwamba nchi hii hakuna wapenda haki Wala wachukia ufisadi... Bali Kuna wapenda maslahi tu basi tu
Wale wapuuzi wa haki za binadamu unawasikia sasa hivi?
 
Hii nchi ina wapuuzi wengi sana ikiwepo watu kama hawa wakina Kabendera. Katika content ya kitabu ukifuatilia kina hype kubwa ya mauaji yasiokuwa na ushahidi.

Nina uhakika hii hype ya kitabu haiwezi kufika mwezi mmoja au miwili na itapotea yote na kitabu hakitauza tena.

Upinzani na wao wakitaka kujichanganya zaidi maana hadi sasa washapoteana ila wakiongelea ujinga wa kina Kabendera watapotea kabisa, kwenye uchaguzi kwa sasa CCM na Upinzani wote ni hovyo kabisa.
 
Kama kweli kuna mabaya hayo aliyoyafanya Magufuli, taifa linaweza kunufaika kujifunza, kwa mfano, kuwa na vetting process kali watu wenye rekodi mbaya wasiruhusiwe na vyama vyao kugombea uongozi.

Kuhusu kumuandia Samia, inaonekana wewe mwenyewe hujaelewa maana ya maneno uliyoyaandika.

Umeandika hivi.

"Wapinzani ni kama vile Bado wanaumizwa sana na marehemu kuliko hata mambo yanayoendelea kwenye awamu hii,"

Kama unaona mambo yanayoendelea kwenye awamu hii yana umuhimu zaidi ya kumuandika marehemu, hujakatazwa na wewe kuyaandika, yaandike tu, tutanunua kitabu.

Kwa nini unalazimisha wengine waandike unavyotaka wewe wakati na wewe una uwezo wa kuandika unavyotaka wewe?

This is a false dichotomy fallacy, kwamba ukiandika mabaya ya Magufuli basi hujachukizwa na mabaya ya Samia.

Watanzania wengi wanafanya ujinga huu wa lazima uwe team Magufuli au team Samia, bila kujali kwamba kuna watu wengi wanaona wote wawili ni majanga, tofauti yule alifanya majanga huku akitukana, huyu anafanya majanga huku anarembua macho.

Kabendera kasema kaandika vitabu viwili, kingine kitatoka. Unajuaje hicho cha pili si cha Samia?
Ni kupoteza muda na kujipa matumaini hewa yasiokuwa na kichwa Wala miguu, eti watanzania wanaweza kujifunza kupitia hicho kitabu Cha Kibendera ambacho kwanza hata lugha iliyotumika ni changamoto Kwa walio wengi, kitendo tu Cha yeye kutuma lugha ya kigeni kinaonesha wazi kwamba targeted audience yake ni nyie madiaspora na watanzania wachache sana waliopo nchini na sana sana amelenga kukiuza huko nje.

Pili watanzania kama ni kujifunza tu kuhusu kuchagua uongozi sahihi, utawala mbovu wa CCM ambao tumeuona Kwa muda WA miaka zaidi ya 60 ni fundisho tosha na wala hawahitaji kukumbushwa na hekaya za aina yoyote kwamba uongozi/kiongozi sahihi anatakiwa aweje, hivyo basi Kwa mantiki hii hicho kitabu Cha Kibendera ni bullcrap

Yes, wapinzani Bado wanaumizwa sana na Magufuli kuliko mambo yanayoendelea kwenye awamu hii ya Samia, wao kama wapinzani ambao wanajionaga ndio mbadala swa CCM lazima tuwaambie.....!!

Kumtaja taja Magufuli wakati hayupo hakutatui changomoto ya aina yoyote tunayokabiliana nayo leo hii, ni upumbavu kabisa.

Na hakuna mahali nimelazimisha mtu ajali Zaid mambo yanayoendelea kwenye awamu hii kuliko yaliyofanyika kipindi Cha magufuli,... Simpangii mtu yoyote, hata wewe ukitaka usifuatilie kabisa lolote linaloendelea leo hii na badala yake ukawa unatumia muda wako mwingi kufuatilia Magufuli alifanya Nini kwenye miaka yake 6 aliyokaa madarakani ni wewe tu, sikuzuiii.

Nimalize Kwa kusema huyo Kibendera kaandika hicho kitabu mbali na sababu za kibiashara, sababu nyingine ni kujipa relief yeye na wenzake wenye uchungu moyoni kama yeye.
 
Kwa maelezo ya mtoa mada nikuwa mtu akikuzidi kwa hoja unaamua kumtoa uhai.

Sasahivi aliowauwa wapo nae huko tena magu yupo motoni muda huu mbwa yule alijua kutesa watu .
 
Anayetuhumiwa hayupo na hawezi kujitetea.
Tuwekewe ushahidi wa vidio JPM akimpiga risasi sanane. Nje na hapo ni taahira tu ndio ataamini hizi tuhuma.
Mnapambana na marehemu? Ajabu hii.
 
Kama unakubaliana nae tuleteeni ushahidi hapa sio lazima hadi tushitaki wakati hata kitabu hicho hajashurutishwa na mtu yeyote yule kukiandika vivyo hivyo alete na ushahidi bila shurti ili tununue kitabu kwa wingi
Huyo ni juha tu Mmoja hivi anayekua kuchesa na maneno na kukuleta kwenye mantiki anayoitaka yeye ndio mfanye mjadala...!!

Ona Sasa hivi anakwambia ukitaka ushaidi uende mahakamani kumshataki huyo Kibendera kisha ndio apeleke ushaidi...

Yaani kwamba huyo Kibendera ameanua kutoa habari nusu nusu halafu zingine atazitoa baada ya yeye kushtakiwa, lengo lake ni Nini hasa?? Kutoa habari bila uthibitisho kwamba kupata uthibitisho ni lazima kwanza tuihusishe mahakama??

Ni wapumbavu na majuha tu ndio watamuamini na kumoana huyo Kibendera Yuko sawa kwenye hizi hekaya zake zenye msukumo WA chuki.
 
Kwa maelezo ya mtoa mada nikuwa mtu akikuzidi kwa hoja unaamua kumtoa uhai.

Sasahivi aliowauwa wapo nae huko tena magu yupo motoni muda huu mbwa yule alijua kutesa watu .
Sasa hivi hawatekwi na kuuwawa?
Mbona km kipindi hiki mauwaji na utekaji umezidi kuliko hata kipindi cha JPM?.
Mataahira tu ndio wataamini hiki kifurushi cha uzushi. Labda kabendera atupe ushahidi,
 
Ni kupoteza muda na kujipa matumaini hewa yasiokuwa na kichwa Wala miguu, eti watanzania wanaweza kujifunza kupitia hicho kitabu Cha Kibendera ambacho kwanza hata lugha iliyotumika ni changamoto Kwa walio wengi, kitendo tu Cha yeye kutuma lugha ya kigeni kinaonesha wazi kwamba targeted audience yake ni nyie madiaspora na watanzania wachache sana waliopo nchini na sana sana amelenga kukiuza huko nje.

Pili watanzania kama ni kujifunza tu kuhusu kuchagua uongozi sahihi, utawala mbovu wa CCM ambao tumeuona Kwa muda WA miaka zaidi ya 60 ni fundisho tosha na wala hawahitaji kukumbushwa na hekaya za aina yoyote kwamba uongozi/kiongozi sahihi anatakiwa aweje, hivyo basi Kwa mantiki hii hicho kitabu Cha Kibendera ni bullcrap

Yes, wapinzani Bado wanaumizwa sana na Magufuli kuliko mambo yanayoendelea kwenye awamu hii ya Samia, wao kama wapinzani ambao wanajionaga ndio mbadala swa CCM lazima tuwaambie.....!!

Kumtaja taja Magufuli wakati hayupo hakutatui changomoto ya aina yoyote tunayokabiliana nayo leo hii, ni upumbavu kabisa.

Na hakuna mahali nimelazimisha mtu ajali Zaid mambo yanayoendelea kwenye awamu hii kuliko yaliyofanyika kipindi Cha magufuli,... Simpangii mtu yoyote, hata wewe ukitaka usifuatilie kabisa lolote linaloendelea leo hii na badala yake ukawa unatumia muda wako mwingi kufuatilia Magufuli alifanya Nini kwenye miaka yake 6 aliyokaa madarakani ni wewe tu, sikuzuiii.

Nimalize Kwa kusema huyo Kibendera kaandika hicho kitabu mbali na sababu za kibiashara, sababu nyingine ni kujipa relief yeye na wenzake wenye uchungu moyoni kama yeye.
Si kweli kwamba Watanzania wote hawajui Kiingereza, watu watakaokuja kuongiza nchi wengi wanajua Kiingereza. Kiingerwza ni lugha ya dunia, hiki kitabu kinaweza kuwa chachu nyingine ya watu kujua Kiingereza.

Na pia, kitabu cha Kiswahili kinatayarishwa kitatoka karibuni. Kabendera kasema

Kuhusu CCM..

Hiki kitabu pia ni sehemu ya kuonesha ubovu wa utawala wa CCM. Kwamba CCM imempa kichaa funguo za Ikulu.

Huelewi wapi?

Kuhusu kumsema sana Magufuli, nimekwambia hata wewe unaruhusiwa kumsema unayemtaka, andika kitabu chako unavyotaka tutakisoma, tatizo liko wapi?
 
Kwani ni wapi Mimi nimesema au nimeonesha kwamba watanzania wote hawajui kingereza??

Wewe ndio hunielewi kabisa na ujuha wako.

Sina muda Wala Sina sababu ya kuandika kitabu chochote kumuhusu kiongozi yeyote, hiyo kazi utaifanya wewe na Kibendera.
 
Majitu mapumbavu sana haya. Nchi inaliwa na kikundi cha watu huku kinawalisha propaganda na yenuewe kama mazuzu yanashangilia tu.
Kwanza hao wanaofaidi nchi Sasa hivi unafikiri hata Wana muda basi na hizi habari za Magufuli?

Watu wako bize kuiba na kuhamisha mahela, ni machawa Wala makombo yaani wafaidikaji WA mwisho WA ufisadi ndio Wana muda wa kuja kupiga kelele za kumchafua marehemu.
 
kuwa kiongozi wa watu zaidi ya milioni 60 sio kazi ndogo, inapobidi kuuwa wachache kwaajili ya wengi ni sahihi kama kiongozi. Kwajinsi nchi hii ilivyo kama nikweli basi Mungu atamsamehe Magufuli huko aliko kwa kuchomoa samaki wachache waliooza kwenye friji ili samaki wengi nao wasioze.
Lolote litakalosemwa kuhusu Magufuli haliwezi kufunika mazuri mengi aliyoyafanya kwenye nchi hii.
Hao samaki wengi wasiooza nchi hii wanapatikana wapi?

Angelenga kuwaondoa samaki wachache waliooza si angeanza kwa kuwaua sisiem wote ikiwemo yeye mwenyewe! Hao mnaowaita wachache waliooza walikuwa na uozo gani kushinda wale mnaowatuhumu kuwa walimuua yeye ili watafune nchi? Si angeanza na hao kwanza. Shida ya nchi hii ukijitambua unaonekana adui, na mimbumbumbu inahesabika kuwa ndo mizalendo na inajivunia kweli!

Nchi hii ukitaka kuwaondoa samaki waliooza labda ulete bomu la nyuklia uitandike Tz nzima, hao wachache wasiooza uwahesabu kama collateral damage.

Msimtetee muuaji kwa kujipa kwake umungu mtu kwa sababu zisizokuwa na mashiko. Kuua mtu/watu ni kiwango cha mwisho kabisa cha kukosa ustaarabu/ubinadamu kabisa. Pia ni ukosefu wa akili kuamini kuwa unahitaji kuwaua wakosoaji wako ili kuulinda utawala wako. Kwani huko wasikoua wakosoaji wao wanatawalaje?

Huyo JPM binafsi ni kati ya watu tuliofahamu tangu zamani akiwania ubunge na kukosa, tukamkubali katika mambo kadhaa lakini hatukuwahi kukubali ukatili wake ambao pia ni asili yake hadi kwenye familia.
 
Kwani ni wapi Mimi nimesema au nimeonesha kwamba watanzania wote hawajui kingereza??

Wewe ndio hunielewi kabisa na ujuha wako.

Sina muda Wala Sina sababu ya kuandika kitabu chochote kumuhusu kiongozi yeyote, hiyo kazi utaifanya wewe na Kibendera.
Kiingereza ni lugha ya dunia, jifunzeni, hakuna namna ya kukikwepa kama mnataka kuendeleza katika dunia hii.

Kama huna muda na huna sababu ya kuandika kitabu chochote, usiwapangie waliotumia muda wao na sababu zao kuandika kitabu cha kumsema Magufuli waandike kitabu tofauti unachokitaka wewe.
 
Nini maana ya kuwapangia watu?

Ni neno gani nililosema Mimi hapo linaloashiria nimewapangia Nini Cha kufanya? Kama ni kuhusu wapinzani basi hiyo ni haki yangu kama mwanainchi kuwaambia hicho ambacho nimekisema....

Magufuli hayupo na kumsema sema kwa maovu aliyowahi kuyafanya au kumhusisha maovu yanayofanyika awamu hii, hakusaidii chochote kile zaidi ya kuwaonesha wao ni wajinga na hawana maono ..

Huyo Kibendera ni mpiga kelele tu huko ukimbizini na kelele zake hazina impacts yoyote Kwenye ustawi WA taifa.... Na mtakaeona amefanya la maana ni nyie wafuasi wake na wenye akili kama zake.
 
Kama watu wnataka kumsema Magufuli kwa maovu aliyoyafanya, watamsema.

Kama kafanya maovu kweli, kuyasema ni wajibu, hata kwa sababu ya kujifunza watu wasiyarudie tu.

Ndiyo maana watu wanaandika vitabu vya Hitler mpaka leo.

Huelewi nini hapo?

Ukisema wasiandike mabaya ya Magufuli, that is censorship. Unawszima wasiseme wanavyotaka kusema.

Kabendera kaandika kitabu cha kuonesha upande wake. Kama na wewe una upande wako, andika tutakisoma.

Kama mnaona Kabendera kadanganya, katuhumu vibaya, mshitakini.

Msipomshitaki, mmekubali tuhuma.

Silence implies consent.
 
Back
Top Bottom