Kwa sasa kuna kila dalili Kamala Harris huenda atamshinda Trump kirahisi kabisa!

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Kinyang'anyiro cha mbio za urais huko Marekani kimeshika kasi, na upepo wa kisiasa ukibadilika karibu kila wiki. Na sasa habari kubwa ni kuhusu Kamala Harris kuanza kuuvuta upepo wa kisiasa kuibeba Democrat.

Tangu mwanzoni Kamala Harris hakupewa nafasi yoyote ya kuwa mbadala wa Biden. Biden alipoanza kupoteza uungwaji mkono bado Kamala Harris hakupewa faida ya kuwa mbadala wa Biden na hata mara baada ya Biden kuhitimisha mbio zake na kutangaza kuachia ngazi huku akimpendekeza Kamala Harris kuwa mbadala wake bado watu wengi walikuwa na wasiwasi wa Kamala Harris kama ataweza kupambana na Trump na wengi wakisema wanasubiri kwanza kinyang'anyiro cha wagombea wa Democrat kifikie mwisho ili kujua nani ataweza kupitishwa!

Wiki moja tu baada ya Kamala Harris kutangaza kuingia kwenye kinyang'anyiro cha mbio za urais wa Marekani kwa tiketi ya Democrat tayari mawimbi ya bahari kwa upande wa Democrat yameanza kutulia na upepo umeanza kuvuma kwa kasi nzuri kumbeba mwanamama Kamala Harris. Hili halijatokea kwa bahati mbaya, lina sababu zake, na hapa tutalijadili.

Hizi ndio sababu za kwanini Kamala Harris huenda akamshinda Trump kirahisi tofauti na vile isivyotegemewa.

1. Wamerekani wengi bado wana imani kubwa na Democrat na mgombea yoyote kutoka Democrat wangeweza kumuunga mkono. Na huo ni mtaji mzuri wa Kamala Harris. Hali ni tofauti kwa Republican ambapo wanaamini bila Trump huenda republican isiambulie ushindi, hivyo yoyote mwenye nguvu, sifa na uwezo wa kukabiliana na Trump kwenye siasa za majukwaani basi automatically anawashinda Republican, na mwelekeo wa siasa za majukwaani kwa siku hizi chache unaonekana kuwa na neema kwa Kamala Harris.

2. Kamala Harris amepata bahati kubwa ya kuingizwa kwenye kinyang'anyiro kwa lazima na kupewa uungwaji mkono wa moja kwa moja na wademocrat wengi kabla ya kupitishwa kwenye misukosuko ya kuchuana na kuchafuana vilivyo na wagombea wengine wa Democrat katika kinyang'anyiro cha kuteuliwa. Inavyoonekana ni kama wademocrat wote wameamua wambebe Kamala Harris ili washinde. Siku zote umoja ni ushindi.

3. Wapiga kura wazuri na wenye kuamua mshindi wa kiti cha urais wa Marekani ni watu wenye msimamo wa wastani ambao wengi wao hawampendi Trump na walianza kupoteza imani kwa Biden kwa sababu ya matatizo ya uzee wake. Ujio wa Kamala Harris umewaamsha upya na kuwapa nguvu ya kwenda kupiga kura. Hii ndio habari njema kwa Democrat.

4. Wamerekani wengi huwa wanajivunia na kufurahia mnoo kuwa na Rais mwenye sifa, mwelekeo na mvuto katika ulimwengu wa kimataifa, wao huamini Rais wao ndio kioo cha kuwatambulisha wamerekani wote kidunia. Na katika hili wanataka kuthibitisha kwa kuwa na Rais wa kwanza mwanamke tena mwenye asili ya uafrika na uhindi ambaye ni Kamala Harris. Tofauti na hivyo itabidi wampe kura mtu mwenye sifa za utambulisho wa uhalifu na ubaguzi, yaani Trump.

5. Hoja zote za Republican zilizowapa positive political milleage dhidi ya Biden za Uzee, usahaurifu na udhoofu zimekufa kifo cha Mende. Kwa sasa inabidi Trump na Republican watengeneze agenda mpya za kutrend kwa kuwa katikati ya vita wamebadilishiwa adui ambaye yuko tofauti na adui wa mwanzo. Kwa sasa kibao kimebadilika, wamerekani wameanza kuhoji uzee, usafi wa kimaadili na utimamu wa Trump kama unastahili kukalia kiti cha urais wa Marekani.
 
She is still enjoying honeymoon boost and energy
 
Usipate tabu mkuu zile katuni maarufu zilishatabiri trump president hawajawahi kukosea walitabiri kifo cha malkia wa uingereza wakatabiri maafa walitabiri corona kiufupi zile katuni ni za watu wa system huyo mama muunga mkono mashoga muache akampikie mumewe kwanza.
 
Sorry naomba kuelimishwa mchakato wa marekani kupata viongozi wa ngazi ya juu mfano rais kwa taifa lao kubwa huwa wanatizama nini ?

Mfano sasa kama ilivyo kwa Trump na Kamala
 
😊
Kwa sasa Trump ndiye mzee, hivyo hoja zao walizozielekeza kwa Biden sasa zinamgeukia yeye...
Biden hakupingwa kwa sababu ni mzee ila alipingwa kwa sababu ya kutokujitambua na uwezo mdogo wa akili...

Kumtambua Rais wa Ukraine zelensky kama Vladmir Putin
Kuanguka anguka ovyo
Kumuita makamu wake kamala harris "Vice president trump
Kushindwa kushuka jukwaani na kushikwa mkono..
Kushika mkono hewa...
 
Hata Trump anafanya makosa hayo hayo kama ya Biden ila ilikuwa kwa kiasi kidogo kuliko Bideni.

Hotuba yake ya kukubali kuwa mgombea ilijaa makosa yakiwemo kumuita makamu wa Rais Pence badała ya Harris.

Kwasasa camera zote zitaangazia uzee wake.
 
Bado kuna shida kwa wamarekani kuamua kama wako tayari kwa Rais mwanamke ambae wameshtukizwa, japo wanapoangalia uwezo wa akili na uzoefu Kamala amemuacha mbali Trump mcheza kamari na mbaguzi ambae kiukweli hapendezi na hajui namna ya kuwa rais bali sanaa tu.

Kamala atashinda kwa kuwa afadhali kuliko Trump potelea mbali.

Kiufupi wagombea wote wawili wamebebwa na upepo wa vyama vyao tu na sio kaliba ya wale ambao raia wengi wangependa kuchagua, huyu mwanamke yule msela!!
 
Kinyang'anyiro cha mbio za urais huko Marekani kimeshika kasi, na upepo wa kisiasa ukibadilika karibu kila wiki. Na sasa habari kubwa ni kuhusu Kamala Harris kuanza kuuvuta upepo wa kisiasa kuibeba Democrat.

Tangu mwanzoni Kamala Harris hakupewa nafasi yoyote ya kuwa mbadala wa Biden. Biden alipoanza kupoteza uungwaji mkono bado Kamala Harris hakupewa faida ya kuwa mbadala wa Biden na hata mara baada ya Biden kuhitimisha mbio zake na kutangaza kuachia ngazi huku akimpendekeza Kamala Harris kuwa mbadala wake bado watu wengi walikuwa na wasiwasi wa Kamala Harris kama ataweza kupambana na Trump na wengi wakisema wanasubiri kwanza kinyang'anyiro cha wagombea wa Democrat kifikie mwisho ili kujua nani ataweza kupitishwa!

Wiki moja tu baada ya Kamala Harris kutangaza kuingia kwenye kinyang'anyiro cha mbio za urais wa Marekani kwa tiketi ya Democrat tayari mawimbi ya bahari kwa upande wa Democrat yameanza kutulia na upepo umeanza kuvuma kwa kasi nzuri kumbeba mwanamama Kamala Harris. Hili halijatokea kwa bahati mbaya, lina sababu zake, na hapa tutalijadili.

Hizi ndio sababu za kwanini Kamala Harris huenda akamshinda Trump kirahisi tofauti na vile isivyotegemewa.

1. Wamerekani wengi bado wana imani kubwa na Democrat na mgombea yoyote kutoka Democrat wangeweza kumuunga mkono. Na huo ni mtaji mzuri wa Kamala Harris. Hali ni tofauti kwa Republican ambapo wanaamini bila Trump huenda republican isiambulie ushindi, hivyo yoyote mwenye nguvu, sifa na uwezo wa kukabiliana na Trump kwenye siasa za majukwaani basi automatically anawashinda Republican, na mwelekeo wa siasa za majukwaani kwa siku hizi chache unaonekana kuwa na neema kwa Kamala Harris.

2. Kamala Harris amepata bahati kubwa ya kuingizwa kwenye kinyang'anyiro kwa lazima na kupewa uungwaji mkono wa moja kwa moja na wademocrat wengi kabla ya kupitishwa kwenye misukosuko ya kuchuana na kuchafuana vilivyo na wagombea wengine wa Democrat katika kinyang'anyiro cha kuteuliwa. Inavyoonekana ni kama wademocrat wote wameamua wambebe Kamala Harris ili washinde. Siku zote umoja ni ushindi.

3. Wapiga kura wazuri na wenye kuamua mshindi wa kiti cha urais wa Marekani ni watu wenye msimamo wa wastani ambao wengi wao hawampendi Trump na walianza kupoteza imani kwa Biden kwa sababu ya matatizo ya uzee wake. Ujio wa Kamala Harris umewaamsha upya na kuwapa nguvu ya kwenda kupiga kura. Hii ndio habari njema kwa Democrat.

4. Wamerekani wengi huwa wanajivunia na kufurahia mnoo kuwa na Rais mwenye sifa, mwelekeo na mvuto katika ulimwengu wa kimataifa, wao huamini Rais wao ndio kioo cha kuwatambulisha wamerekani wote kidunia. Na katika hili wanataka kuthibitisha kwa kuwa na Rais wa kwanza mwanamke tena mwenye asili ya uafrika na uhindi ambaye ni Kamala Harris. Tofauti na hivyo itabidi wampe kura mtu mwenye sifa za utambulisho wa uhalifu na ubaguzi, yaani Trump.

5. Hoja zote za Republican zilizowapa positive political milleage dhidi ya Biden za Uzee, usahaurifu na udhoofu zimekufa kifo cha Mende. Kwa sasa inabidi Trump na Republican watengeneze agenda mpya za kutrend kwa kuwa katikati ya vita wamebadilishiwa adui ambaye yuko tofauti na adui wa mwanzo. Kwa sasa kibao kimebadilika, wamerekani wameanza kuhoji uzee, usafi wa kimaadili na utimamu wa Trump kama unastahili kukalia kiti cha urais wa Marekani.
Anaza pipo bana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bado kuna shida kwa wamarekani kuamua kama wako tayari kwa Rais mwanamke ambae wameshtukizwa, japo wanapoangalia uwezo wa akili na uzoefu Kamala amemuacha mbali Trump mcheza kamari na mbaguzi
Wala hilo la kuwa na rais Mwanamke siyo, ni kwamba Marekani waliokuwa wakimpinga Trump sasa wamegundua hawakuwa wakimuelewa, sasa kwa wingi wao wameamua ku side na Trump
 
ni wabaguzi tu wanaomuelewa, kura za maoni zinambeba Kamala. Trump atashindwa ni msela tu hana kaliba wala sifa za kuongoza nchi kubwa, mf kwenda Korea kaskazini na kupokewa na maafisa iliwakera sana raia wake
 
Back
Top Bottom