Kwa sasa kuna kila dalili Kamala Harris huenda atamshinda Trump kirahisi kabisa!

Kamala atashinda Popular votes za Wananchi ila kimbuka tycoons wa USA wana chombo inaitwa Electoral college,hapo ndipo Trump atakapochukua nchi kama ilivyokuwa kwa Hillary Clinton!!
Hillary Clinton alipoteza ushindi baada ya kupoteza jimbo la Florida (ambalo lina electoral college votes nyingi, nadhani 29) na Trump kushinda. Lakini mwaka 2020 pamoja na Trump kushinda tena jimbo la Florida lakini bado alipoteza urais kwa maana kuwa Biden alishinda urais bila kushinda Florida!

Kamala Harris anategemea kupambana mapema sana alichukue jimbo la Florida (Na hilli ndio lilonishtua na kuhisi huyu mama amepanga kuchukua nchi mapema sana!). Na style anayotumia ni kwenda mashinani huko Florida ambapo 30% ya wapiga kura wenye kuamua mshindi wapo. Harakati za Harris zimeanza leo huko Florida, na timu kampeni yake imejipanga kutumia siku 100 kuzisaka hizo kura. Mwitikio wa kuandikisha volunteers wa kufanya hizo shughuli unaelezwa kuwa mkubwa sana.

Let wait and see.
 
Quote me after President Trump is sworn
 
Wamarekani Bado hawaamini Katika Rais Mwanamke
 
Story ya uzee inachochewa na mambo yake ya kukosea mambo, bado kwenye suala la uzee Trump anamuacha mbali Sana Biden
 
Yaani mie nilishaamini Trump anaingia ikulu saa mbili asubuhi tena baada ya assassination attempt, ila mambo yamebasilika ghafla. Kamala anampeleka puta trump na PR wa Kamala wako very smart, wanacbeza na Gen Z na watu maarufu, sasa hivi ni kamala, kamala, kamala... .paka sasa kamala anashinda. Trump wamepoteana kabisa.. alafu kamala yuko VERY SMART ktk kuongea na kushawishi watu, ni kama Obama wa kike.... na ana kitu cha ziada, KUCHEKA.. KUCHEKA ni dawa....
 
Pamoja na umri wake lakini Trump bado yuko vizuri sana kichwani. Haya uliyoorodhesha ni kujikwaa kunakoweza kufanywa na mtu yeyote hata mwenye umri mdogo. Ukitaka kujua Trump yuko vizuri basi lile jaribio la kutaka kuuawa lilianika kila kitu. Aliweza kufirikiri na ku-react kwa haraka na kwa namna ambayo inatakiwa. Japo marais huwa wanafundishwa wafanye nini linapotokea tukio kama lile, lakini kwa umri wake na kwa namna alivyofikiri kwa haraka, bado yuko vizuri kichwani.
 
Uwezekano wa kamala kupata kura nyingi kuliko mpinzani wake trump Unaweza ukafanikiwa endapo kama wahamiaji haramu wataruhusiwa kupiga kura, na sio vinginevyo.
 
Vikatuni vya utabiri vina nguvu gani ya kuamua nani awe rais wa USA?
Yaani watu waache kupiga kura kisa wanafuatilia vikatuni?

Mbona vikatuni vya Kipanya hapa Tz huwa vinatabiri fresh tu, mbona hatuvipi airtime?
Hujaelewa ninachozungumza soma tena vizuri utanielewa.
 
Kwa hiyo KAMALA atafanya USA ishinde kwenye vita na URUSI ?
Katka NCHI ha ksrael Kuna waisraeli takriban 6mil, sio kama katika nchi ya USA yenye waisraeli takriban 20mil, na wanao ushawishi wa kiuchum na kisiasa, hivyo rais wa USA akiwasaliti Hawa, nao watamsaliti pia katika kampeni zake. Pia tunafaham chama Cha democratic kimeshindwa kukwamua mchakato wa msaada wa USD 60Bil kwa Ukraine
Kwa hiyo KAMALA atafanya USA ishinde kwenye vita na URUSI ?

Kwa hiyo KAMALA atafanya USA ishinde kwenye vita na URUSI ?
Katika nchi ya Israeli Kuna waisraeli takriban 6mil, sio kama katika nchi ya USA yenye waisraeli takriban 20mil, na wanao ushawishi wa kiuchum na kisiasa hivyo rais wa USA akiwasaliti Hawa nao watamsaliti pia katika
Kwa hiyo KAMALA atafanya USA ishinde kwenye vita na URUSI ?

Kwa hiyo KAMALA atafanya USA ishinde kwenye vita na URUSI ?
Katika nchi ya Israeli Kuna waisraeli takriban 6mil, sio kama ilivyo Kwa nchi ya USA henye waisraeli takriban 20mil, na wanao ushawishi mkubwa kiuchumi na kisiasa na elimu kubwa kule USA, hivyo raisi wa USA akiwasaliti Hawa nao watamsaliti katika mbio zake za kampeni za Urais. Ipo wazi kuwa chama Cha democratic kimeshindwa kukwamua mchakato wa msaada wa takriban USD 60 za msaada wa kijeshi Kwa Ukraine katika binge la marekani.
 
Nani kasema Marekani haiwezi kuongozwa na Mwanamke?
Kama huku Afrika (ambapo mfumo dume umeota mizizi mirefu) kumekuwepo marais wanawake, nini kizuie USA isiwe na rais mwanamke?
Lini Marekani umewahi kuwa na raisi Mwanamke?.... Haijawahi na haitakuwa.....

Marekani imekuwa na raisi wa kwanza tangu 1777..... Mpaka leo hii 2024... Haijawawahi kuwa na raisi Mwanamke..... Na haitakuwa.....
 
Kwanza lile zee nani analitaka? Likalee wajukuuu tuu 🀣🀣
 
Trump must go Kuna uwezekano Pete Buttigueg akawa Mgombea Mwenza wa Harris Kamala
 
Vyote hivyo ni sababu za uzee ambazo zitamkabili Trump πŸ˜†πŸ˜†
 
Changamoto kubwa Huwa ni wanawake yaani akili zao hapo zinawaza kwamba ni kumfaidisha mwanamke mwenzao πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Wangeamua kumsapoti mwenzio anashinda mapema saa 2 ila Sasa wengi watampigia Trump na Kamala atategemea kura za wanaume zaidi na wanawake wachache wanaojitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…