Kwa sasa Mbowe hataki kusumbuliwa kuhusu suala la Slaa na fedha za shughuli ndani ya chama. Hii ni changamoto kubwa CHADEMA

Sina shida na Lissu nasubiri kwa hamu kuona uongozi wake, najua kuna mahali atafanya vizuri lakini kuna masuala kama vile mafekeche ya kuendesha chama na jinsi ya kuyapata. Hii ni changamoto kubwa kwa uongozi wa CDM kwa sasa.

Uongozi wa CDM unahitaji kutafuta vyanzo vya uhakika vya mapato. Mipango ni mingi kuhakikisha CDM hakipati wabunge wa kutosha ili chama kiwe dhaifu. Mheshimiwa Mbowe alikibeba chama kama mtoto wake mpendwa lakini sasa hapendi kusumbuliwa kwa suala la fedha kwani amepoteza mabilioni na sasa anajikita zaidi kufafuta mafekeche ya kutosha kama alivyosema katika hotuba yake ya kumaliza ngwe yake.

Dr. Slaa anajipigania mwenyewe huko alipo. Hakuna tena ile nguvu ya diplomacy ya Bwana Mbowe. Na hadi sasa hakuna dadili hata ya maandamano ya mshikamano, mwezi unakwisha tangu uongozi mpya kushika hatamu wana CDM wanasubiri kuoneshwa njia. Ila naomba msimwache Lissu peke yake kama mlivyofanya kwa Mbowe, hali itakuwa mbaya. Kazi ipo.
Mbowe hakuwa na utajiri wowote wakufadhili Chama, Mbowe biashara zake zinajulikana ni biashara za kawaida tu chadema inatumia mabilioni kwa shughuli zake siku kwa siku, Chama hiki kinabebwa na wanachama na wadau mbali mbali. Mbowe ni mmoja wapo wa watu walio kifaidi Chama na kimezidi kumtajirisha.
 
Mnyampaa kumnyang'anya mmachame chama chake urithi ni ukatili usioelezeka. Alikiuka kanuni zote za ustaarabu. Mzee Mtei huko aliko haamini kilichotokea.
 
Tulipokuwa tunasema hiyo ni Saccoss mlikuwa mnakaza fuvu.
 
Sina shida na Lissu nasubiri kwa hamu kuona uongozi wake, najua kuna mahali atafanya vizuri lakini kuna masuala kama vile mafekeche ya kuendesha chama na jinsi ya kuyapata. Hii ni changamoto kubwa kwa uongozi wa CDM kwa sasa.

Uongozi wa CDM unahitaji kutafuta vyanzo vya uhakika vya mapato. Mipango ni mingi kuhakikisha CDM hakipati wabunge wa kutosha ili chama kiwe dhaifu. Mheshimiwa Mbowe alikibeba chama kama mtoto wake mpendwa lakini sasa hapendi kusumbuliwa kwa suala la fedha kwani amepoteza mabilioni na sasa anajikita zaidi kufafuta mafekeche ya kutosha kama alivyosema katika hotuba yake ya kumaliza ngwe yake.

Dr. Slaa anajipigania mwenyewe huko alipo. Hakuna tena ile nguvu ya diplomacy ya Bwana Mbowe. Na hadi sasa hakuna dadili hata ya maandamano ya mshikamano, mwezi unakwisha tangu uongozi mpya kushika hatamu wana CDM wanasubiri kuoneshwa njia. Ila naomba msimwache Lissu peke yake kama mlivyofanya kwa Mbowe, hali itakuwa mbaya. Kazi ipo.
Chadema dude kubwa sana
 
Mbowe ana kiporo cha ugaidi Kwa DPP

Amelazimishwa Kustaafu Siasa 🐼
 
Yule wa huko Nchumbiji aliyejitangaza kuwa ameshinda ana sapoti kubwa ya wananchi ilihali hata chama cha uhakika hakuwa nacho !

Watu wakikupenda na wakaamua kufanya mabadiliko mengine yote huwa ni kazi bure tu !
 
Machawa wa Ayatolah Freeman Alkaeli Mbowe kubalini kushindwa mkae mtulie dawa iwaingie.

Mnataka Lissu atumie janja janja kama ya Mbowe ya mchana kula Chadema usiku kulala CCM?

Tulieni dawa iwaingie.
toa solution, acha ngonjela za taarabu
 
Sina shida na Lissu nasubiri kwa hamu kuona uongozi wake, najua kuna mahali atafanya vizuri lakini kuna masuala kama vile mafekeche ya kuendesha chama na jinsi ya kuyapata. Hii ni changamoto kubwa kwa uongozi wa CHADEMA kwa sasa.

Uongozi wa CHADEMA unahitaji kutafuta vyanzo vya uhakika vya mapato. Mipango ni mingi kuhakikisha CDM hakipati wabunge wa kutosha ili chama kiwe dhaifu. Mheshimiwa Mbowe alikibeba chama kama mtoto wake mpendwa lakini sasa hapendi kusumbuliwa kwa suala la fedha kwani amepoteza mabilioni na sasa anajikita zaidi kufafuta mafekeche ya kutosha kama alivyosema katika hotuba yake ya kumaliza ngwe yake.

Dr. Slaa anajipigania mwenyewe huko alipo. Hakuna tena ile nguvu ya diplomacy ya Bwana Mbowe. Na hadi sasa hakuna dadili hata ya maandamano ya mshikamano, mwezi unakwisha tangu uongozi mpya kushika hatamu wana CHADEMA wanasubiri kuoneshwa njia.

Ila naomba msimwache Lissu peke yake kama mlivyofanya kwa Mbowe, hali itakuwa mbaya. Kazi ipo.
Umeandika jinsi unavyowaza na wala hauna ushahidi kama kisindikizio cha ndoto yako.
 
Kibaraka wa Mbowe hujakata tamaa tu? Mbowe alishajifukuzisha CDM yeye mwenyewe
 
A short-sighted mind arguments.
Kitu Cha muhimu zaidi ni kuungwa mkono na Wananchi wengi zaidi ambao wenye akili timamu sawa sawa kabisa, wenye nia ya dhati kabisa ya kudai na kupigania Haki zao, wenye dhamira za dhati kabisa katika HAKI, Demokrasia, Maendeleo, Mabadiliko pamoja na mambo mengine yote ya msingi. Mtaji mkubwa zaidi wa Chama chochote kile Cha Siasa ni WATU. Watu ndio mtaji mkubwa zaidi.
Msingi Mkuu wa Demokrasia hapa duniani unaamini kwamba "wengi ndio kushinda"

Chama cha ANC Cha Afrika Kusini enzi za kupigania Uhuru wa Watu weusi kilikuwa hakina pesa na wala Viongozi wake hawakuwa na pesa, hata miradi yao binafsi ilihujumiwa na Utawala wa Makaburu. Kwanza Utawala wa nchi hiyo chini ya Wazungu wachache walikitangaza Chama hicho cha ANC kuwa ni KUNDI LA KIGAIDI.

Lakini kwa kuwa Chama hicho Cha ANC kilikuwa kinaungwa mkono Sana na Watu/Wananchi walio wengi Wapenda HAKI, basi Utawala wa kidhalimu wa Makaburu ulishindwa na hatimaye Chama hicho kiliibuka kidedea na kushika Dola katika nchi hiyo ya Afrika Kusini hadi sasa. Watu Wapenda Haki walijitolea muhanga katika harakati za hatari kubwa sana za kukipigania Chama hicho hadi kikashinda licha ya kuwepo kwa Vitisho vikubwa vya kuuawa kutoka kwa Utawala wa Makaburu. Haikuwa kazi rahisi hata kidogo katika kukipigania Chama hicho, lakini hatimaye HAKI ilishinda.
 
Sina shida na Lissu nasubiri kwa hamu kuona uongozi wake, najua kuna mahali atafanya vizuri lakini kuna masuala kama vile mafekeche ya kuendesha chama na jinsi ya kuyapata. Hii ni changamoto kubwa kwa uongozi wa CHADEMA kwa sasa.

Uongozi wa CHADEMA unahitaji kutafuta vyanzo vya uhakika vya mapato. Mipango ni mingi kuhakikisha CDM hakipati wabunge wa kutosha ili chama kiwe dhaifu. Mheshimiwa Mbowe alikibeba chama kama mtoto wake mpendwa lakini sasa hapendi kusumbuliwa kwa suala la fedha kwani amepoteza mabilioni na sasa anajikita zaidi kufafuta mafekeche ya kutosha kama alivyosema katika hotuba yake ya kumaliza ngwe yake.

Dr. Slaa anajipigania mwenyewe huko alipo. Hakuna tena ile nguvu ya diplomacy ya Bwana Mbowe. Na hadi sasa hakuna dadili hata ya maandamano ya mshikamano, mwezi unakwisha tangu uongozi mpya kushika hatamu wana CHADEMA wanasubiri kuoneshwa njia.

Ila naomba msimwache Lissu peke yake kama mlivyofanya kwa Mbowe, hali itakuwa mbaya. Kazi ipo.
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu
 
Mbowe hakuwa na utajiri wowote wakufadhili Chama, Mbowe biashara zake zinajulikana ni biashara za kawaida tu chadema inatumia mabilioni kwa shughuli zake siku kwa siku, Chama hiki kinabebwa na wanachama na wadau mbali mbali. Mbowe ni mmoja wapo wa watu walio kifaidi Chama na kimezidi kumtajirisha.
Ndio ujue jamaa ni opportunistic tu wala hakuwa upande wa Wananchi na shida zao !
Kupata watu ambao wapo kwa ajili ya kupigania Nchi na Wananchi wake huwa ni shughuli pevu kweli kweli !
Na wakipatikana huwa wanapigwa vita kila upande !
 
Sina shida na Lissu nasubiri kwa hamu kuona uongozi wake, najua kuna mahali atafanya vizuri lakini kuna masuala kama vile mafekeche ya kuendesha chama na jinsi ya kuyapata. Hii ni changamoto kubwa kwa uongozi wa CHADEMA kwa sasa.

Uongozi wa CHADEMA unahitaji kutafuta vyanzo vya uhakika vya mapato. Mipango ni mingi kuhakikisha CDM hakipati wabunge wa kutosha ili chama kiwe dhaifu. Mheshimiwa Mbowe alikibeba chama kama mtoto wake mpendwa lakini sasa hapendi kusumbuliwa kwa suala la fedha kwani amepoteza mabilioni na sasa anajikita zaidi kufafuta mafekeche ya kutosha kama alivyosema katika hotuba yake ya kumaliza ngwe yake.

Dr. Slaa anajipigania mwenyewe huko alipo. Hakuna tena ile nguvu ya diplomacy ya Bwana Mbowe. Na hadi sasa hakuna dadili hata ya maandamano ya mshikamano, mwezi unakwisha tangu uongozi mpya kushika hatamu wana CHADEMA wanasubiri kuoneshwa njia.

Ila naomba msimwache Lissu peke yake kama mlivyofanya kwa Mbowe, hali itakuwa mbaya. Kazi ipo.
Tulia basi mbona mna haraka kutaka kujua chadema inakujaje kitaa, tulieni
 
Simpingi Lissu, ila najua jambo moja: Lissu sio practical, unaelewa? Hana ujanja wa kutafuta mafekeche na hili litamfanya abaki akibwabwaja tu bila effect yoyote. Kuna changamoto kubwa hapo mtaona vizuri jambo hili hapo baadaye.
Kwani chama hakina mkurugenzi wa fedha? Bodi ya wadhamini? Kamati kuu kwamba kote huko hamna watu wenye mawazo mpaka Lissu peke yake ndio awe practical ili chama kipate fedha?

Ni ujinga kutegemea pesa ya mtu, maadam chadema ina wanachama zaidi ya laki 5 waliosajiliwa,hivyo kulipia tu kadi kwa buku buku ni mabilioni kwa mwaka.

Time will tell ila amezungukwa na very smart people hata uliona wakati wa kampeni kwahiyo tarajia makubwa
 
Kibaraka wa Mbowe hujakata tamaa tu? Mbowe alishajifukuzisha CDM yeye mwenyewe
Kama kuna kosa ambalo atalijitua maishani ni kuruhusu kutimukiwa na wanachadema kwenye kampuni ambayo alikuwa anaamini ni mali yake.
 
Simpingi Lissu, ila najua jambo moja: Lissu sio practical, unaelewa? Hana ujanja wa kutafuta mafekeche na hili litamfanya abaki akibwabwaja tu bila effect yoyote. Kuna changamoto kubwa hapo mtaona vizuri jambo hili hapo baadaye.
Lissu sio practical-una maanisha nini?
Hana ujanja wa kutafuta mafekeche- unamsaidia kutunza familia yake?.
 
Lisu sio meneja wa bank na wala hauzi unga. Chama ni cha wanachama na sio cha tajiri fulani. Kama wanachama wakishindwa kukichangia sio kosa la Lisu. Lakini usitegemee watu watakaa wanategemea pesa za mtu mmoja, eti tu kwa kuwa siku za nyuma kuna mtu alifanya hivyo. Kila zama na kitabu chake, jifunzeni kukubali mabadiliko.
Hii comment ilitakiwa iwe pinned, mimi ni ccm ila ukweli ni huu, chama ni cha wanachama sio lissu. Wanachama wamemchagua kua kiongozi wao inabidi wapambane kiendelee. Tena na nguvu ile ile.
 
Back
Top Bottom