Kwa sasa mwanasiasa mwenye nguvu hapa Tanzania ni Job Yustin Ndugai ukimya wake unakishindo kikubwa sana tusubiri!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Huyu ni mtu kweli kweli ! Ameamua kufunika kombe ,haongei chochote na hachangii chochote ,amefumba kinywa ! Fisi wanajua wamemkomoa na Kuna wengine wanaona kama amekuwa failed! Huyu mtu hata wabunge wanamwita baba ! Kokote alipo asikubali 2025 kukaa kimya tutampeleka ikulu saa 2 asubuhi
 
Duh ila mzee kapiga kimya sana.
 
Ndugai kwisha nabari yake. Alilaaniwa pale alivyomsulubu lisu as if yeye hana mpango wa kufa. Zaidi ya hilo aliposema Yesu alioa ndo ikawa mwisho wake kisiasa. Jamani Yesu ana nguvu sana usicheze na neno lake utapotea kama alivyopotea ndugai.

Mama anapendwa sana kwa sababu anatoa sadaka kwa mamilion kanisani
 
Siyo kweli, mwenye nguvu ni Mzee wa Msoga, Kinana, Mzee Makamba this Trio CCM haifurukuti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…