Kwa sasa nchi nzima iko chini ya udhibiti wa dola, iwe baa ya nyota tano au kilabu cha komoni na chibuku, kijiwe cha boda,.gesti, wako kila kona

Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.

Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.

Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.

Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Usitishe watu wewe ,polisi nchi nziwa wapo elfu 45 tu.
 
Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.

Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.

Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.

Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Itakuwa town tu nguvu ya umma haizuoliwiii acha wale posho zao na wao wameandamana sasaaa....ujumbe umefikaa......wasiojua kuna niji sasa wamejuaa
 
Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.

Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.

Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.

Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Sasa hii kabisa umenena ukweli watu wawe makini.
 
Police waniazime rungu moja, nikimuona mwandamanaji nimtandike rungu wanataka kutuaribia hata ugali tusile iwe nchi ya mchaka mchaka, kulala saa 10 jioni. Sheinz typo!
Wewe kama mimi. Uchu wa madaraka unawasumbua. Hata wapewe nchi hawawezi akili zao matope. Kwanza unampaje nchi mchaga, au mwehu TUNDU.
 
Namkumbuka uncle MAGU aliwanyoosha.Mboo angefia jela. Huyo sijui liso bila kukimbilia kwa mabwana zake saizi angetembelea matrako.
 
Matumizi mabaya ya akili, na matumizi sahihi ya Nguvu kwakua hawajawahi kutumia Akili.

Uhai wa Binadamu sio mnyama, ukishaua kubali kupigwa Kila Kona .

Mzee Kibao ,kachukuliwa na Jeshi la Polisi, kauwawa na Jeshi la Polisi.
Kwa hiyo unataka jeshi la Polisi na JW wazichape!!?? Maana Polisi kumuwa Mwanajeshi hata kama ni mstaafu hiyo kesi kubwa sana! Mi bado naamini Polisi siyo waliofanya hayo mauwaji ya Mzee Kibao!!
 
Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.

Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.

Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.

Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
 
Attachments

  • 20240921_183545.jpg
    20240921_183545.jpg
    78.7 KB · Views: 1
Wewe kama mimi. Uchu wa madaraka unawasumbua. Hata wapewe nchi hawawezi akili zao matope. Kwanza unampaje nchi mchaga, au mwehu TUNDU.
Mchaga ukimkabizi tu kipande cha Aridhi akulindie kama jirani, lazima akupige miguu kadhaa kama siyo chote, itakua Nchi!!
 
Back
Top Bottom