Japhet gombe
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 556
- 623
Kama wameimarisha ulinzi kila sehemu sasa kwanini wasiandame. Si ulinzi ni tano kwa tano.Namna hiyo ndio inatakiwa. Waboreshe na Technology tu.. ili ufanisi uwe 200%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wameimarisha ulinzi kila sehemu sasa kwanini wasiandame. Si ulinzi ni tano kwa tano.Namna hiyo ndio inatakiwa. Waboreshe na Technology tu.. ili ufanisi uwe 200%
Usitishe watu wewe ,polisi nchi nziwa wapo elfu 45 tu.Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Kwani Jeshi la Polisi wamekubali barua ya chadema ya kufanya maandanoKama wameimarisha ulinzi kila sehemu sasa kwanini wasiandame. Si ulinzi ni tano kwa tano.
Itakuwa town tu nguvu ya umma haizuoliwiii acha wale posho zao na wao wameandamana sasaaa....ujumbe umefikaa......wasiojua kuna niji sasa wamejuaaUwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Sasa hii kabisa umenena ukweli watu wawe makini.Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Wewe kama mimi. Uchu wa madaraka unawasumbua. Hata wapewe nchi hawawezi akili zao matope. Kwanza unampaje nchi mchaga, au mwehu TUNDU.Police waniazime rungu moja, nikimuona mwandamanaji nimtandike rungu wanataka kutuaribia hata ugali tusile iwe nchi ya mchaka mchaka, kulala saa 10 jioni. Sheinz typo!
Kwa hiyo unataka jeshi la Polisi na JW wazichape!!?? Maana Polisi kumuwa Mwanajeshi hata kama ni mstaafu hiyo kesi kubwa sana! Mi bado naamini Polisi siyo waliofanya hayo mauwaji ya Mzee Kibao!!Matumizi mabaya ya akili, na matumizi sahihi ya Nguvu kwakua hawajawahi kutumia Akili.
Uhai wa Binadamu sio mnyama, ukishaua kubali kupigwa Kila Kona .
Mzee Kibao ,kachukuliwa na Jeshi la Polisi, kauwawa na Jeshi la Polisi.
Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Si wamekataa kwasabu wamesema kunaviashia vya uvunjifu wa Amani sasa kama wameimarisha ulinzi hofu yao ni nini.Kwani Jeshi la Polisi wamekubali barua ya chadema ya kufanya maandano
Naona busara imetumika. Inabidi watulie tu kwanzaSi wamekataa kwasabu wamesema kunaviashia vya uvunjifu wa Amani sasa kama wameimarisha ulinzi hofu yao ni nini.
Mchaga ukimkabizi tu kipande cha Aridhi akulindie kama jirani, lazima akupige miguu kadhaa kama siyo chote, itakua Nchi!!Wewe kama mimi. Uchu wa madaraka unawasumbua. Hata wapewe nchi hawawezi akili zao matope. Kwanza unampaje nchi mchaga, au mwehu TUNDU.
Sidhani kama kuna mtu ataandamana jumatatu labda awe ajitakiNaona busara imetumika. Inabidi watulie tu kwanza
Tusubiri tuone, maana sikio la kufa huwa halisikii dawaSidhani kama kuna mtu ataandamana jumatatu labda awe ajitaki