Kwa sasa ngono imepungua mvuto

Kwa sasa ngono imepungua mvuto

Kwa ulivyoandika tu ,naweza kadiria umri wako ni 50's kelekea 60 hapo kwanza testosterone imeshuka kwa kiwango kikubwa mno ushauri wangu tulia na bi mkubwa hapo home
huu ni ushauri hewa ulobase kwenye imagination na si uhalisia.
 
😂😂😂😂 nani alikwambia utafiti ni maneno!? Utafiti ni namba Mkuu si maneno matupu.

Tuwekee basi hizo namba za local research yako uliifanyia wapi na lini na ukubwa wa sample yako ulikuwa ni upi?

mkuu hata utafiti ni maneno, bora hata ungenambia sijafuata procedure hadi nikapata hitimisho, pia mimi sijafanya utafiti wa kitaaluma ambao unahitaji process yakufuata procedure, mi nimefanya local research na nikaamua kushare hapa kama mtizamo
 
mkuu BAK, kwa hiyo hayo mawazo unayoyawasilisha kwenye research sio maneno?
 
K haijawahi kudanganya hata siku moja brother!

Sema vijana wengi saiv, wameelekeza hisia zao bafuni!
 
daaaah leo kuna demu nimemuona kavaa kanga na chupi hadi saivi nipo nawaza
 
mkuu huu ni mtizamo wako japo hauakisi uhalisia, yaani siku za nyuma ke unampeleka gheto bt kuja kula mzigo inakua shughuli bt saivi mkifika tu anachanua shughuli inaendelea, mi kwa jicho langu naona kabisa kuna mvuto umepungua.
Kwa vile tu umekua ndio maana hata zamani haya Mambo yalikuwa yanafanyika kisirisiri na vile umegrow basi upatikanaiji Ni mrahisi, Sasa unakutana na wadangaji wanaotaka hela kwanini asikupanulie
 
Kwa ulivyoandika tu ,naweza kadiria umri wako ni 50's kelekea 60 hapo kwanza testosterone imeshuka kwa kiwango kikubwa mno ushauri wangu tulia na bi mkubwa hapo home
[emoji23][emoji23][emoji23]nilimwambia mleta mada kakua ndio maana anaona hyo Hali nakuona hamna jipya
 
Kwa vile tu umekua ndio maana hata zamani haya Mambo yalikuwa yanafanyika kisirisiri na vile umegrow basi upatikanaiji Ni mrahisi, Sasa unakutana na wadangaji wanaotaka hela kwanini asikupanulie
kwa maneno haya basi wanawake wote wa zama hizi ni wadangaji maana hawana usumbufu tena kutoa tunda.
 
kwa maneno haya basi wanawake wote wa zama hizi ni wadangaji maana hawana usumbufu tena kutoa tunda.
Kutoa uchi upate starehe sio udandagaji. Pia huwezi linganisha ulimbukeni wa ngono wakati una balehe na Sasa jinsi inavokuwa unazoea Hilo tendo bana
 
Kutoa uchi upate starehe sio udandagaji. Pia huwezi linganisha ulimbukeni wa ngono wakati una balehe na Sasa jinsi inavokuwa unazoea Hilo tendo bana
kwa hiyo kulizoea tendo ndo kunasababisha likose mvuto?
 
Delay the act.,if its the first time

Minimize frequency.,if it happens mara kwa mara,
Let ur partner miss you...

fanya ishu zingine...
Let ur body burn first.,tension yake hapo mkipunguziana stress mtapenda.,
 
Kwa vile tu umekua ndio maana hata zamani haya Mambo yalikuwa yanafanyika kisirisiri na vile umegrow basi upatikanaiji Ni mrahisi, Sasa unakutana na wadangaji wanaotaka hela kwanini asikupanulie
Na kweli zamani watu walikua wanapigwa mieleka visimani na vichakani
 
Mkuu wewe ndo umebadilika...kwa vijana wa sasa hali ni ile ile ambayo wewe ulikuwa nayo enzi hizo.

Kadri unavyo kuwa mkubwa inakuwa rahisi kupata mwanamke wa kutoka naye. Lwa sababu mbalimbali kama kipato kuongezeka, uhuru kuongezeka lakini vile vile wigo kuongezeka. Unapo kuwa kijana mdogo mara nyingi unawinda wasichana wa rika lako au wadogo kidogo ambao ni upatikanaji wake ni shida. Lakini pia una vizia vi geto vya washkaji. Huwezi kutokea watu wazima maana watakwambia wewe mtoto una laana.

Lakini kadri umri unavyoongezeka unakuwa na wigo woote wa rika lako na chini...lakini pia kuna umri ukifika unakuwa na leseni ya kuendesha mzigo wowote.
True story.,mada ifungwe😅
 
Back
Top Bottom