Kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma Makao Makuu, wote imekuwa ni njia moja Dar

Ndugu yangu kanijuza leo wengi wapo Dodoma - wanasubiria Ijumaa!
 
Mkuuu unataka wabaki dom kufanya nn!!?
Kuna starehe gaan dom mzeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Au wewe furaha yako ni kuona wako pale with no reasonπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuuu unataka wabaki dom kufanya nn!!?
Kuna starehe gaan dom mzeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Au wewe furaha yako ni kuona wako pale with no reasonπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hamna sehemu iliumbwa na starehe moja kwa moja. Ni watu ndiyo waliozifanya sehemu baadhi zionekana za starehe! Dodoma imeanza kuwa sehemu ya starehe. Nilienda pale nikapelkwa mahali panaitwa Mbambalaga! Unapafahamu hapo?
 
Hayo ni matunda ya utawala wa kiimla ya dikteta Magufuli. Watendaji walijaa unafiki mtupu. Watu waliacha kufanya kazi kufuata miongozo na wakawa busy kumridhisha Magufuli huku wakitesa watanzania.
Kwahyo kingefanyika nin kunyoosha hayo mambo?..hebu shaur basi...kutofautisha na tawalaa zingne awamu ya 2,3,4 .....maana tunajua ilikua business as usual...
 
Dar es Salaam pazuri panapendeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…