Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna sehemu iliumbwa na starehe moja kwa moja. Ni watu ndiyo waliozifanya sehemu baadhi zionekana za starehe! Dodoma imeanza kuwa sehemu ya starehe. Nilienda pale nikapelkwa mahali panaitwa Mbambalaga! Unapafahamu hapo?Mkuuu unataka wabaki dom kufanya nn!!?
Kuna starehe gaan dom mzee😂😂😂
Au wewe furaha yako ni kuona wako pale with no reason😂😂😂😂😂
Hata kama yalikuwa ni ya Nyerere peke yake bado yalikuwa na manufaa kwa Taifa hili!Uamuzi wa kuhamia dodoma yalikuwa ni mawazo ya mtu mmoja pekee
Kwahyo kingefanyika nin kunyoosha hayo mambo?..hebu shaur basi...kutofautisha na tawalaa zingne awamu ya 2,3,4 .....maana tunajua ilikua business as usual...Hayo ni matunda ya utawala wa kiimla ya dikteta Magufuli. Watendaji walijaa unafiki mtupu. Watu waliacha kufanya kazi kufuata miongozo na wakawa busy kumridhisha Magufuli huku wakitesa watanzania.
Yepi hayoHata kama yalikuwa ni ya Nyerere peke yake bado yalikuwa na manufaa kwa Taifa hili!