Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Katiba ya Chama iko wazi. Inapofika wakati wa uchaguzi mkuu wa Urais Madiwani na Wabunge basi ndani ya chama kila mwenye sifa anaruhusiwa kuchukua form na kugombea.
Endapo kama ana viwango na sifa takiwa basi Kamati Kuu ya CCM inaweza kumpitisha kama Mgombea wao. Achana na zile stori za Utamaduni mila na desturi kwamba aliyeko madarakani lazima aendelee.That is not documented anywhere. It lacks legibility.
Mwaka 2020 alitokea Kiongozi Shupavu, mwanachama mwenye weledi na anayejiamini Kamilius Benard Membe aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi.
Mtu yule alizua kashi kashi ya kutosha dhidi ya aliyekuwa Rais Wakati huo Hayati Dr John Pombe Magufuli.
Nimetafakali sana visa vile nika reflect 2025, je tunaye Mtu bold anayejiamini Kama Benard Membe tunapoelekea 2025?
Mimi nimetazama ndani ya ccm ya sasa simuoni hata mmoja.