Kwa sasa yanga ni timu ya daraja la juu Afrika

Simba nayo ilichukuwa kombe Mara 4 mfulilizo kombe la ligi, shirikisha ,ngao Mara 2 , mapinduzi pia sijaiona Cha ajabu hapo Ila nawapongeza kwa kufika fainali Ila
 
Huyo hamna timu yenye ubavu wa kumlipa mshahara autakao Afrika Mashariki na kati.

Huko Saudi Arabia alikuwa anakunja Tsh 400,000,000 kwa mwezi na kuipandisha daraja kala bonus ya dola mil 1.
 
Nyi ndo mnasababisha tunaitwa mazuzu, huyo kocha akiona viwanja vyetu vya ugenini atakimbia bongo bila kuaga!!! Mosimane ashakua level zingine
 
Haya uliyo andika ni hisia za kishabiki sio mpira
 
Kwenye post yako inayohusu Zaka za kazi...kuna memba aliandika kuwa alikuwa anakuheshimu na anaendelea kukuheshimu ila ni maoni yako unaruhusiwa kuongea lolote isipokua siasa.
 
Yanga Kwa Sasa ni one among the heavyweight clubs in Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…