Hearly Loyalty
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 411
- 370
Hakuna nchi takatifu Wala mji mtakatifu Duniani hizo ni propaganda zilizo lenga kuwa brain wash watuSaudi Arabia sio nchi Takatifu yote.Kuna miji miwili tu ndio mitakatifu,ni Makka na Madina.Hiyo Riyadhi ni miji kama miji mingine.Na mji wa tatu mtakatifu kwa waislamu Jerusalem.Kwa hiyo Saudia sio nchi takatifu ni miji miwili tu,ya Makka na Madina.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kweli dini ni upigajiMakaburi mengi ya drug dila ya huo ukanda yamejazwa misalaba mikubwa na sanamu nyingi za bikra Maria[emoji4][emoji4][emoji23]
🤣🤣[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sawa.Akili yako ndo imeishia hapo?
Sahii kabisa[emoji4]Kama Columbia tu, ni Wakatoliki wazuri sana, ila kwenye Cocaine kuna Macartel kuliko Mashemasi.
Look! kwenye utafutaji dunia ya leo kila mtu anaangalia fedha na sadaka inapokekewa.
Wakiskia adhana chap mskitini[emoji28]Taleban ni walima Mihadarati wakubwa ila wakisikia Adhana chap msikitini.
Serikali nyingi zina umafia nyuma yake.
Unakula supu ya kitimoto ila nyama huli,Saudi Arabia sio nchi Takatifu yote.Kuna miji miwili tu ndio mitakatifu,ni Makka na Madina.Hiyo Riyadhi ni miji kama miji mingine.Na mji wa tatu mtakatifu kwa waislamu Jerusalem.Kwa hiyo Saudia sio nchi takatifu ni miji miwili tu,ya Makka na Madina.
🤣🤣Wakiskia adhana chap mskitini[emoji28]
Kabisa [emoji4]Hakuna nchi takatifu Wala mji mtakatifu Duniani hizo ni propaganda zilizo lenga kuwa brain wash watu
Colombia haiongozwi kidini tofauti na Afghanistan.Kama Columbia tu, ni Wakatoliki wazuri sana, ila kwenye Cocaine kuna Macartel kuliko Mashemasi.
Look! kwenye utafutaji dunia ya leo kila mtu anaangalia fedha na sadaka inapokekewa.
Afghanistan ilikuwa inaongozwa Kidemokrasia mpaka juzijuzi Waasi wa Kitaliban walivyochukua mamlaka kwa njia ya Mapunduzi.Colombia haiongozwi kidini tofauti na Afghanistan.
Mnaanza kuikana nchi yenu tena ya mtume.Saudi Arabia sio nchi Takatifu yote.Kuna miji miwili tu ndio mitakatifu,ni Makka na Madina.Hiyo Riyadhi ni miji kama miji mingine.Na mji wa tatu mtakatifu kwa waislamu Jerusalem.Kwa hiyo Saudia sio nchi takatifu ni miji miwili tu,ya Makka na Madina.
Hilil a kuhusisha biashara ya Unga na Uislamu au ukiristo si sahihi.Njoo zanzibar uone,unga na bangi ni biashara kubwa,nchi za kiislam zinachagua dhambi za kufanya
Ni kama hapa kijiweni "kwetu"!Tunapeperusha bendera ya CCM.Ukitufuatilia tunauza bangi,kokeini,mirungi nk.Na siku wateja wasipotokea tunageuka kuwa panya-road!Makaburi mengi ya drug dila ya huo ukanda yamejazwa misalaba mikubwa na sanamu nyingi za bikra Maria😊😊😂
Nilitaka kumuonyesha mtoa mada kuwa dini zisimpumbaze,mbele ya pesa imani zinawekwa pembeniHilil a kuhusisha biashara ya Unga na Uislamu au ukiristo si sahihi.
Hakuna Nchi kama nchi inayo dill na biashara ya madawa ya kulevya .
Kwa kawaida ni madilla ndio hupitisha mipakani kwa hilla na kujipatia mapesa yasiyomithilika.
Hili si janga la nchi fulani , bali janga la dunia.\
Waathirika si wa dini fulani , bali Jamii zote duniani.
Ondoa dini na ondoa ubaguzi Pambana na Madawa ya Kulevya kwa Ustawi wa watu wetu na dunia kwa ujumla.
Afghanistan ilikuwa inaongozwa Kidemokrasia mpaka juzijuzi Waasi wa Kitaliban walivyochukua mamlaka kwa njia ya Mapunduzi.
Ni nchi yenye mifumo ya dini lakini mwisho wa siku kuna watu na siasa pia ipo, kwahiyo usishangae kwenye hilo. Dini ni dini na hayo ni hayo.Ni moja ya nchi zenye sheria kali sana. Na misingi ya Kidini. Hii ni nchi ambayo inaheshimika sana Kidini. Hili suala linakuaje ndugu zanguni? Limekaaje kaaje?mbona silielewi?
Haya mambo yalianzia Pakistan miaka mingi kuwa ni nchi ambayo inafanya sana Biashara za Madawa ya kulevya. Ikaja nchi kama Dubai na Pia Morocco. Sasa ni akina nani wanatumia haya madawa huko?
Au hili suala ni vita vya kiuchumi? Sielewi na nimeumizwa sana na jambo hili maana linachafua taswira ya nchi hii Takatifu.
View attachment 2345108
Wanaochinjwa saudia ni wakosoaji wa utawala wa kifalmeAliyeingiza na aliyepokea Ijumaa ijayo wanaenda kuacha vichwa.