Kwa Saud Arabia hapa nashindwa kuelewa. Inakuaje? Au ni vita ya kiuchumi?

Saudi Arabia sio nchi Takatifu yote.Kuna miji miwili tu ndio mitakatifu,ni Makka na Madina.Hiyo Riyadhi ni miji kama miji mingine.Na mji wa tatu mtakatifu kwa waislamu Jerusalem.Kwa hiyo Saudia sio nchi takatifu ni miji miwili tu,ya Makka na Madina.
Hakuna nchi takatifu Wala mji mtakatifu Duniani hizo ni propaganda zilizo lenga kuwa brain wash watu
 
Kama Columbia tu, ni Wakatoliki wazuri sana, ila kwenye Cocaine kuna Macartel kuliko Mashemasi.

Look! kwenye utafutaji dunia ya leo kila mtu anaangalia fedha na sadaka inapokekewa.
Sahii kabisa[emoji4]
 
Saudi Arabia sio nchi Takatifu yote.Kuna miji miwili tu ndio mitakatifu,ni Makka na Madina.Hiyo Riyadhi ni miji kama miji mingine.Na mji wa tatu mtakatifu kwa waislamu Jerusalem.Kwa hiyo Saudia sio nchi takatifu ni miji miwili tu,ya Makka na Madina.
Unakula supu ya kitimoto ila nyama huli,
 
Kama Columbia tu, ni Wakatoliki wazuri sana, ila kwenye Cocaine kuna Macartel kuliko Mashemasi.

Look! kwenye utafutaji dunia ya leo kila mtu anaangalia fedha na sadaka inapokekewa.
Colombia haiongozwi kidini tofauti na Afghanistan.
 
Afghanistan ilikuwa inaongozwa Kidemokrasia mpaka juzijuzi Waasi wa Kitaliban walivyochukua mamlaka kwa njia ya Mapunduzi.
 
Saudi Arabia sio nchi Takatifu yote.Kuna miji miwili tu ndio mitakatifu,ni Makka na Madina.Hiyo Riyadhi ni miji kama miji mingine.Na mji wa tatu mtakatifu kwa waislamu Jerusalem.Kwa hiyo Saudia sio nchi takatifu ni miji miwili tu,ya Makka na Madina.
Mnaanza kuikana nchi yenu tena ya mtume.
 
Rest in peace the 3rd King of Saudi Arabia King faisal bin Abdulaziz Al Saudi. Hii ndio saudia aliyoiona na kuikataa lakin ndio hivyo US kill him. Na ndiye mfalme pekee wa saudia aliyekua mswahilina wa kweli na mcha Mungu. Ambaye anabakia kuwa mfalme kipenzi mioyoni mwa raia wa Saudi Arabia mpaka leo.
 
Njoo zanzibar uone,unga na bangi ni biashara kubwa,nchi za kiislam zinachagua dhambi za kufanya
Hilil a kuhusisha biashara ya Unga na Uislamu au ukiristo si sahihi.
Hakuna Nchi kama nchi inayo dill na biashara ya madawa ya kulevya .
Kwa kawaida ni madilla ndio hupitisha mipakani kwa hilla na kujipatia mapesa yasiyomithilika.
Hili si janga la nchi fulani , bali janga la dunia.\
Waathirika si wa dini fulani , bali Jamii zote duniani.
Ondoa dini na ondoa ubaguzi Pambana na Madawa ya Kulevya kwa Ustawi wa watu wetu na dunia kwa ujumla.
 
Nilitaka kumuonyesha mtoa mada kuwa dini zisimpumbaze,mbele ya pesa imani zinawekwa pembeni
 
Kwenye mashamba ya Opium ulikuwa bado ni utawala wa Taliban
Afghanistan ilikuwa inaongozwa Kidemokrasia mpaka juzijuzi Waasi wa Kitaliban walivyochukua mamlaka kwa njia ya Mapunduzi.
 
Uhalifu hauna dini ilo litambue ingukua niivyo wasingekua na mahakama polisi au jela kama kweli patakatifu. kamuulize jamali kashoghi
 
Ni moja ya nchi zenye sheria kali sana. Na misingi ya Kidini. Hii ni nchi ambayo inaheshimika sana Kidini. Hili suala linakuaje ndugu zanguni? Limekaaje kaaje?mbona silielewi?

Haya mambo yalianzia Pakistan miaka mingi kuwa ni nchi ambayo inafanya sana Biashara za Madawa ya kulevya. Ikaja nchi kama Dubai na Pia Morocco. Sasa ni akina nani wanatumia haya madawa huko?

Au hili suala ni vita vya kiuchumi? Sielewi na nimeumizwa sana na jambo hili maana linachafua taswira ya nchi hii Takatifu.

View attachment 2345108
Ni nchi yenye mifumo ya dini lakini mwisho wa siku kuna watu na siasa pia ipo, kwahiyo usishangae kwenye hilo. Dini ni dini na hayo ni hayo.
 
Back
Top Bottom