Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Atatatuaje changamoto za wananchi bila kumtoa jiwe?Kwahiyo hoja ni kupambana na Magufuli na siyo Kuweza kutatua changamoto za wananchi
Kabisa, tunataka mifumo ya taasisi imara na sio mtu imara. Tukiwa na taasisi imara mtu yeyote mwenye sifa za kuwa rais ataongoza kwa mafanikio makubwa. Tunahitaji taasisi zenye uwezo wa kutoa dira ya mwelekeo wa nchi, zenye uwezo wa kumwajibisha yeyote hata kama ni rais.Lissu anahitaji support kubwa nyuma yake kutoka kwa wale wanaoangalia safari yetu huko mbele na vizazi burying. Ikiwa tunataka kupata mfumo wa viongozi na sio watawala Tanzania.
Tusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu. Tupate nchi yenye mifano mizuro ya sheria hata ikitokea Kingwendu anajua Rais ataweza kuiongoza.
Vyoyote vile kwa uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo.Kwahiyo hoja ni kupambana na Magufuli na siyo Kuweza kutatua changamoto za wananchi
Kila mtu apambane na hali yake wananchi watamchagua anayekubalika zaidi miongoni mwa Magufuli, Lisu, Lipumba na Mwembe.Atatatuaje changamoto za wananchi bila kumtoa jiwe?
Hoja si kupambana na ......hoja ni kujenga nchi itakayo fata sheria na iwe ngumu kwa mtu kuvunja katiba apendavyo,hapo hata kama kingwendu atapata kuwa raisi aweze kuongoza si kwa matakwa yake bali sheria imuongoze(mfano ni marekani na trump)Kwahiyo hoja ni kupambana na Magufuli na siyo Kuweza kutatua changamoto za wananchi
Hakika, ni kweli, uko sahihi.Kila mtu apambane na hali yake wananchi watamchagua anayekubalika zaidi miongoni mwa Magufuli, Lisu, Lipumba na Mwembe.
dada mamboLissu anahitaji support kubwa nyuma yake kutoka kwa wale wanaoangalia safari yetu huko mbele na vizazi vyetu. Ikiwa tunataka kupata mfumo wa viongozi na sio watawala Tanzania.
Tusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu. Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea Kingwendu anakua Rais ataweza kutuongoza.
Umenena vyema kabisa mkuu. Nchi za ulimwengu wa kwanza zimepiga hatua za kiuchumi kwa sababu ya kuwa na mifumo na taasisi imara zinazosimamia sheria bila kigugumizi. Kule raia hawamuogopi mtu bali wanaheshimu sheria. Huku kwetu sheria haziheshimiwi matokeo yake tumekuwa wahanga wa kuogopa mtu. Sasa hivi sio kuogopa tu tunasujudia kabisa.Hoja si kupambana na ......hoja ni kujenga nchi itakayo fata sheria na iwe ngumu kwa mtu kuvunja katiba apendavyo,hapo hata kama kingwendu atapata kuwa raisi aweze kuongoza si kwa matakwa yake bali sheria imuongoze(mfano ni marekani na trump)
LISSU ONE AND ONLY ONELissu ndio hasa kisiki cha mpingo cha kupambana na Jiwe. Hata wapiga kura wanatakuwa majasiri wa kudai haki yao endapo wataporwa ushindi wao.
Wakina Membe na wengineo wampishe Lissu kwa huu uchaguzi maana hawana uwezo wa kupambana na siasa za kibabe za jiwe. Lissu hasa ndio pekee anayeweza kwenda sambamba na midundo ya Jiwe.
Mmeanza kubwaga manyanga😅😅Kila mtu apambane na hali yake wananchi watamchagua anayekubalika zaidi miongoni mwa Magufuli, Lisu, Lipumba na Mwembe.
Naunga mkono "comments" zako kwa asilimia 100Lissu anahitaji support kubwa nyuma yake kutoka kwa wale wanaoangalia safari yetu huko mbele na vizazi vyetu. Ikiwa tunataka kupata mfumo wa viongozi na sio watawala Tanzania.
Tusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu. Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea Kingwendu anakua Rais ataweza kutuongoza.
unayumba JanjaMagufuli anakura nyingi sana,tena sana.wakati Magufuli anajenga nchi Lissu baada ya kupona akaanza kuzurula ulaya kujidalalisha kwa mabeberu ili atakapopewa nchi awe wakalawao wa kuwapa rasilimali za taifa.
Bahati mbaya imetokea Lissu amepigwa risasi katika utawala wa Magufuli. Kinachomuuma waliompiga hawajakamatwa wala uchunguzi haukufanyika.Magufuli hana Diplomasia... ukitaka kupambana naye jitoe uhai wako ukabidhi kwa Yesu...yaani uwe tayari kwenda vitani...vita vya hatari.
Lissu in the ONLY candidate...CDM in last 5 years wamejaribu kutumia demokrasia lakini wameambulia kuwa vilema na wengine hawaonekani walipo.
Magufuli hata kaa akanyage Ulaya na USA..sababu ukifika tu ukimalizana na Rais mwenyeji ni LAZIMA kuna press lazima uzi face utake usitake..Bahati mbaya imetokea Lissu amepigwa risasi katika utawala wa Magufuli. Kinachomuuma waliompiga hawajakamatwa wala uchunguzi haukufanyika.
Hata kama huu ndiyo mfumo uliomuweka madarakani Rais Mwinyi, Mkapa (R.I.P), Kikwete na Magufuli lakini Jumna bibi limemwangukia Magufuli.
ni zako.na.zinakutosha mwenyeweLissu anahitaji support kubwa nyuma yake kutoka kwa wale wanaoangalia safari yetu huko mbele na vizazi vyetu. Ikiwa tunataka kupata mfumo wa viongozi na sio watawala Tanzania.
Tusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu. Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea Kingwendu anakua Rais ataweza kutuongoza.