Kwa sifa hizi, hata ingekuwa wewe….

Unalipa watu ili wakusifie kama ulitaka kuwa m-congoman si ungesema
 
Evolution ya mwafrika haijakamilika!! Pamoja na sifa zote hizi bado haridhiki na hukarahishwa na critics za watu wachache kuliko wanaompa sifa!!
 
Na tatizo kubwa ni kwa anaesifiwa yani anajisahau anajiona km malaika wa zamu, JPM alikuwa poa ila ndo aliyeleta hili kasheshe, kiasi kwamba kufa kwake ilikuwa km muujiza usiowezekanika, lakini maza hajifunzi ndo kwanza kamzidi hadi mwalimu wake,
 
Hiyo ndio Siasa mkuu na hayo ndio mambo yao.

Si unaona wenyewe wanavyofurahia??
 
Njaa na uchawa umetufikisha hapa.
Hawa wasanii ndio kundi la hovyo kuwahi kutokea.!
 
Hiyo ndo sifa kubwa ya chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…