TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Baadhi tunalipwa ila wengi wanajitoa akili tu kutafuta closeness 😐!.Hivi huwa wanalipwa hela nyingi au huwa wanajitolea tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadhi tunalipwa ila wengi wanajitoa akili tu kutafuta closeness 😐!.Hivi huwa wanalipwa hela nyingi au huwa wanajitolea tu?
Wewe ni msanii?Baadhi tunalipwa ila wengi wanajitoa akili tu kutafuta closeness 😐!.
Hata ingekuwa ni wewe, uwezekano wa kuanza kujiona wewe ni mungu, ni mkubwa sana.
Unaweza hata kujiona huna kasoro yoyote ile.
Unaweza ukajiona wewe si binadamu wa kawaida:-….yaani wewe damu yako ni tofauti kabisa na damu za watu wengine. Labda una damu ya rangi ya njano.
Unaweza ukajiona wewe moyo wako umeumbwa tofauti kabisa na mioyo ya watu wengine.
Unaweza ukajiona wewe huna mishipa ya damu iliyotapakaa mwili mzima.
Unaweza ukajiona unao uwezo wa kutenganisha bahari zote zilizopo duaniani.
Unaweza ukajiona wewe mwili wako hauzalishi bakteria kama ilivyo miili yetu sisi wengine.
Unaweza ukajiona wewe unaweza tembea hewani. Yaani kanuni za nguvu za mvutano wewe hazikuhusu kabisa.
Kwa sifa hizo, hata wakitokea wapumbavu wanaotaka uwe Rais wa maisha, hutoweza kuwakemea. Utawafurahia tu.
Urais wa Tanzania ni wa kipekee sana. Labda unaweza tu kufananishwa na urais wa kule Korea ya Kaskazini.
View: https://youtu.be/1-9OC-HXD0M?si=x37ss3tYzZhP5jQU
Hawalipwi, ni kiherehere Tu kama akina LucasHivi huwa wanalipwa hela nyingi au huwa wanajitolea tu?