Kwa Simba SC hii kama taifa tujiandae kwa aibu

Hii mechi ndio imekuwa serious challenge kwa simba ukiondoa ile mechi ya Al hilal ya ibenge..

Kwa picha ya nje Simba Sc ina uzoefu na uwezo kuliko Waarabu wa leo, ila ukija kwny uhalisia Wachezaji wengi WALIOPO Simba kwa sasa wana experience ndogo na wametoka kwny timu ndogo ndogo kuliko timu waliyoichezae sasa....hivyo sio rahisi kwao ku-handle mechi zenye presha kubwa mbele ya mashabiki aggressive kama wa Leo...

Fikiria wachezaji kama Valentino Mashaka, Ahoua, Mutale au Balua..Leo ni mara yao ya kwanza kucheza mechi yenye mashabiki zaidi ya elf 40

USHAURI::
katika line up itakayoanza hasa mechi za ugenini, Simba inatakiwa Ianze na atleast 6/11 ya Wachezaji iliyokuwa nao misimu ya nyuma....ili ku-retain spirit na uzoefu wa Simba...

Changamoto ya Leo
Kocha mpya, wachezaji 8 kati ya 11 walioanza jana wote ni WAPYA..
Katika mazingira haya naiona mechi ijayo ya mguu wa pili haitakuwa nyepesi.
 
Umefafanua vyema kabisa mkuu, umemaliza kila kitu. Mechi ijayo sio nyepesi kama wanasimba wengi wanavyofikiria kwa namna kikosi chao kilivyo. Mwalimu ana kazi ya ziada kwenye kupanga kikosi.
 
Leo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo.

Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba sitoshangaa wakifungwa hapa nyumbani.

Soma Pia:
NB: SIMBA SC MSILIAIBISHE TAIFA.
Wapo vizuri si wangeshinda?
 
Nyokoooo....
 
Back
Top Bottom