Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #81
Mashabiki hawachezi mpira, liverpool na mashabiki wake nyumbani kafungwa.Yanga wanacheza na timu hazina washabiki kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki hawachezi mpira, liverpool na mashabiki wake nyumbani kafungwa.Yanga wanacheza na timu hazina washabiki kabisa
Sijawai vuta bangi mkuuBangi imekushinda....Utaanza kuokota makopo muda si mrefu.
Kama mpira hawajui, ni hawajui tu... Ndumba ina support sehemu tu ya mchezo(kama kweli nduma zipo)kama kuna uwanja unatumika kwa majini ntaifa kwa kamati ile simba anashinda.2-0/3-1
nikokwawakala
Walibya watatulipia hili tusi.Vyura vyura wenye akili ni wawili yani utopolo wanashida aise
Kabisa kwa mpira wenye uwekezaji wa mabilioni ya pesa hii sio hoja ya muhimu.Hoja ya heshima ya ugenini ni hoja mfu
Mashindano ambayo simba hayupoLimbukeni wa mashindano utawajua tu
Simba walivyocheza leo ndivyo walivyocheza na yangaNi game plan ya ugenini
Mjitokeze uwanjani kuipa timu hamasa ili isijefedhehesha taifa kwa matokeo mabaya.Upo Sahihi Kabisa Mkuu Simba Imebebwa na Camara Leo tulikuwa hatuna munkari kabisa tunapoteza mipira kirahisi Halafu ule uhuni wa mashabiki wao tuufanye zaidi pale taifa Ubaya Ubwela Sina Mengi Mimi Mnazi Wa Mnyama Mkali Kutokea Pande Za Kyala Marangu SIMBA NGUVU MOJA
Aibu kuu kabisa, walikuwa wanarukaruka tu hata wakipata mpira wanapoteza.Wewe kweli umeangalia mpira Simba ni aibu tupu
Bado nafasi anayo, bilion 4 sio mchezoVyura wameumia Sana Mabululu kawaangusha😁
Lugha za hivyo na mpira sio mkuu, hizi timu kurushiana maneno ni kawaida ila hayo yako sio.Ushabiki mwingine wa kishoga sana ulionao. Ndio mana mashoga mmejaa mjini.
Pale wote walikuwa na washabiki ila yanga wanacheza na timu haina mshabiki hata mmoja sasa ni timu hiyo?Mashabiki hawachezi mpira, liverpool na mashabiki wake nyumbani kafungwa.
Ni timu ndio uwanjani si walikua kamili?Pale wote walikuwa na washabiki ila yanga wanacheza na timu haina mshabiki hata mmoja sasa ni timu hiyo?
Yanga alijidai kupishana ba belouzdad ugenini kilichomkuta hana hamu.Kabisa kwa mpira wenye uwekezaji wa mabilioni ya pesa hii sio hoja ya muhimu.
👎[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
Ile mechi walituzidi mbinu, ni miongoni mwa mechi zilizoniumiza sana.Yanga alijidai kupishana ba belouzdad ugenini kilichomkuta hana hamu.
Hii lugha nayo itabadilika.
Utasikia makundi hatoboi
Kazi kwelikweli