Kwa sisi tunaoamini unabii tunajua kabisa Russia anashindwa vita hivi

Kwa sisi tunaoamini unabii tunajua kabisa Russia anashindwa vita hivi

Ivi wazungu wao wanatumia Biblia hipi na kwa Nini wajiingize kwenye mitego , au huu unabii unatuhusu waafrika tu
 
Russia atakuwa ndiye mdhibiti Mkuu Wa kaskazini yote ya Dunia.
Marekani ndiye anakwenda kuanguka na kudhibitiwa na umoja wa ulaya.
 
Vita Gani? Russia Hana Vita anayopigana. Na akipigana Vita Ni ndani ya masaa 12 tu kashashinda .

Russia Ana Operesheni za Kijeshi Ukraine.
Operation ya kulipua hospitali? Ni mauaji hayo
 
Inamana wazungu hawasomi Biblia na wanaingia kwenye mitego kirahisi zaidi.
Waisraeli walionywa moja kwa moja toka kwa Mungu na bado walimuasi,mzungu ni nani? Kuwa mzungu haimaanishi ndio kuwa na hekima kuliko wengine la.
 
Namuona Putin akikosa kabisa shabaha kabisa ya vita hivi,sio kama anapenda ila tu imeandikwa US na mshirika wake mkubwa UK ndio serikali kuu ulimwengu kwa sasa.
Hakuna mnyama mwingine atakaetokeza na kuwazidi nguvu.

Kwenye biblia ule mchanganyiko wa
chuma na udongo wa mfinyanzi ni serikali dhaifu za kidemokrasia ambazo wapiga debe wake ni UK na USA.

Wanaotarajia kuwa Urusi kuwa itashinda kama @yerikonyerere watatoka na aibu. Urusi itashindwa na baadaye itakuwa kama mbwa koko tu ila hawezi kushinda serikali za magharibi.
Sasa huo inabii uko wapi??? Mbona hakuna kifungu
 
Naomba nikupongeze kwa kuamini unabii
Pia naomba nikusahihishe vidole vya miguuni kuwa nusu udongo na nusu chuma ni mataifa 7 ya ulaya yaliyojikomboa kutoka dora ya kirumi, nusu udongo nusu chuma maana yake udongo na chuma haviwezi kuungana na kuwa kitu kimoja.

Ina maanisha mataifa ya ulaya hayatakuja kuungana na kuwa falme moja au mamlaka moja yenue nguvu duniani, uk, ufaransa, uteno, sapain, german, italy,, haya ni mfano tu. Ikumbukwe mataifa matatu yalimezwa kabisaa hadi leo hayapo.

UFUNUO 13:11-18 inaelezea unabii wa mnyama wa mwisho mwenye nguvu ambaye hatashushwa hadi Yesu atakaporudi, huyu anasaidiana na mnyama wa kwanza kwenye UFUNUO 11:1-10

LENGO NI NINI
USA ndiye atakayeeneza itikadi za serikali moja, ONE WORLD ODER, then siku moja ya kuabudu kwa kisingizio uchumi umeyumba hivyo siku zote sita tufanye kazi ila siku moja wote duniani tunatuhusiwa kuabudu, utaabudu usichokizoea, vitabu vyote vya Mungu vitabadirishwa na kuwepo kwa mafundisho mengine.

USA ndie atakauetia pumzi/nguvu yule mnyama wa kwanza kukamilisha unabii, LAKINI NYUMA YAO HAO WOTE ANAYEWAONGOZA NI JOKA/SHETANI UFUNUO 16:14

ATAFANIKIWAJE
UFUNUO 13:11-18 inaonyesha kuwa atakuwa mwenye nguvu na kuwatetemesha mataifa yote duniani, ataleta machafuko kwa kila nchi yenye upinzani kisha anajifanya kuja kusaidia kuleta sutuhishi akifanikiwa anapata uhalali wa kukutawala.

VITA YA URUSI NA UKRAINE ni moja ya njia ya kumzoofisha MRUSI ili yeye aendelee kuwa big power country, njia moja wapo ni kuchochea vita na nchi nyingine au ndani ya nchi yenyewe kwa kueneza propaganda.

USA anawapampu MAPRO WAKE UE na wengine na wanatii (HAPA KUNA JAMBO LA KUJIFUNZA) urusi hadi sasa uchumi wake umeyumba kwa kiasi kwa sababu ya vita ya muda mrefu, akidhoofu kabisaa ndipo USA huingilia na kuhitimisha lile lengo lake.

Akimuweza mtusi means CHINA, IRAN, N.KOREA n.k zotayumba pia mwisho zote zinajikuta ndani ya USA. Baada ya kufanikisha hili ndipo sasa ile ONE WORLD ORDER inajiweka wazi maana hata sasa ipo na inatenda kazi KAMA HUAMINI JIULIZE NCHI GANI INA NGUVU UN? angalia baraza la usalama, baraza la afya, na mengineyo angalia POSITION NA NGUVU YA USHAWISHI YA USA.

TUNAOAMINI UNABII tunaamini ya kwamba URUSI haitaanguka kabisaa maana ukisoma EZEKIELI 38 utaona URUSI ndani ya vita ya HARMAGEDON
vita hii wengi wataiona kimwili lakini itapiganwa kitoho zaidi maana shetani atatamani kufuta kizazi cha wanaomwabudu Mungu, ndipo Yesu atahitimisha uovu wote duniani NDIPO HAPO MWISHO WA YOTE UTAFIKA NA HUKUMU ITATOLEWA.

TUMRUDIE MUNGU TUACHE MAOVU[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Haiwezi kuwa New world order ikiwa Kiongozi ni yule yule(usa). Lazima US aanguke ndio kuwe na "New" order ambayo haitakuwa inatoka kwa USA. Plus uchumi wa Us pia uko hoi wamebaki kuchapisha dollar tu now. Wakitegemea supply zaidi. Na pia wako kwa debt bubble bust. Soon watashuka kiuchumi so wanatafuta kitu cha kusingizia why wameanguka. Ndio corona ilianza kama chambo and now kila akiulizwa buden mambo ya uchumi anasingizia Vita ya Ukraine. Na shosti yake saud hataki kupokea simu.
 
Huyu ni Mchumi kutoka Mchambawima anaeshindana na Nchi inayo control World Bank na IMF.
 
Haiwezi kuwa New world order ikiwa Kiongozi ni yule yule(usa). Lazima US aanguke ndio kuwe na "New" order ambayo haitakuwa inatoka kwa USA. Plus uchumi wa Us pia uko hoi wamebaki kuchapisha dollar tu now. Wakitegemea supply zaidi. Na pia wako kwa debt bubble bust. Soon watashuka kiuchumi so wanatafuta kitu cha kusingizia why wameanguka. Ndio corona ilianza kama chambo and now kila akiulizwa buden mambo ya uchumi anasingizia Vita ya Ukraine. Na shosti yake saud hataki kupokea simu.
Umeandika kienyeji sana, kama mwanamke wa kizaramo.
 
Biblia zinawasomaji wengi kwahiyo kwako wewe Ile pembe kwenye biblia Ni Marekani na mnyama Ni Marekani. Na lile sanamu aliloota mfalme Ni Marekani huyo huyo aisee utim utakuua kanywe maji ulale.
unabahatisha TU, Ila kasome kitabu Cha Ezekiel 38 yote. Utakuta kitu kinaitwa GOGU NA MAGOGU. Tatizo litakuja hutaweza kutafsiri chochote hapo.ila kukufungua TU Gogu Ni Russia,Iran,China NK.Magogu Ni nchi za Nato,Israel na Marekani.

Hivyo mleta post anajua anachoongea. Unakuta mtu unabishana kuhusu unabii wa biblia wakati biblia yenyewe huijui.
 
Namuona Putin akikosa kabisa shabaha kabisa ya vita hivi,sio kama anapenda ila tu imeandikwa US na mshirika wake mkubwa UK ndio serikali kuu ulimwengu kwa sasa. Hakuna mnyama mwingine atakaetokeza na kuwazidi nguvu.

Kwenye biblia ule mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi ni serikali dhaifu za kidemokrasia ambazo wapiga debe wake ni UK na USA.

Wanaotarajia kuwa Urusi kuwa itashinda kama @yerikonyerere watatoka na aibu. Urusi itashindwa na baadaye itakuwa kama mbwa koko tu ila hawezi kushinda serikali za magharibi.

Tanzania tumebahatika kuwa na Mtu kama wewe. Vatican na Jerusalem na kwingine WATASUBIRI.
 
Back
Top Bottom