Kwa sisi tunaoamini unabii tunajua kabisa Russia anashindwa vita hivi

Kwa sisi tunaoamini unabii tunajua kabisa Russia anashindwa vita hivi

URUSI atayumba kiuchumi na kurejesha itachukua miaka mingi huku USA ikiendelea kuwa super power
Screenshot_20220323-214534_Sputnik.jpg
 
Namuona Putin akikosa kabisa shabaha kabisa ya vita hivi,sio kama anapenda ila tu imeandikwa US na mshirika wake mkubwa UK ndio serikali kuu ulimwengu kwa sasa. Hakuna mnyama mwingine atakaetokeza na kuwazidi nguvu.

Kwenye biblia ule mchanganyiko wa chuma na udongo wa mfinyanzi ni serikali dhaifu za kidemokrasia ambazo wapiga debe wake ni UK na USA.

Wanaotarajia kuwa Urusi kuwa itashinda kama @yerikonyerere watatoka na aibu. Urusi itashindwa na baadaye itakuwa kama mbwa koko tu ila hawezi kushinda serikali za magharibi.
Nchi hii ina watu wa ovyo sana aiseee
 
Back
Top Bottom