Kwa sisi tunaoamini unabii tunajua kabisa Russia anashindwa vita hivi

Ivi wazungu wao wanatumia Biblia hipi na kwa Nini wajiingize kwenye mitego , au huu unabii unatuhusu waafrika tu
 
Russia atakuwa ndiye mdhibiti Mkuu Wa kaskazini yote ya Dunia.
Marekani ndiye anakwenda kuanguka na kudhibitiwa na umoja wa ulaya.
 
Vita Gani? Russia Hana Vita anayopigana. Na akipigana Vita Ni ndani ya masaa 12 tu kashashinda .

Russia Ana Operesheni za Kijeshi Ukraine.
Operation ya kulipua hospitali? Ni mauaji hayo
 
Inamana wazungu hawasomi Biblia na wanaingia kwenye mitego kirahisi zaidi.
Waisraeli walionywa moja kwa moja toka kwa Mungu na bado walimuasi,mzungu ni nani? Kuwa mzungu haimaanishi ndio kuwa na hekima kuliko wengine la.
 
Sasa huo inabii uko wapi??? Mbona hakuna kifungu
 
Haiwezi kuwa New world order ikiwa Kiongozi ni yule yule(usa). Lazima US aanguke ndio kuwe na "New" order ambayo haitakuwa inatoka kwa USA. Plus uchumi wa Us pia uko hoi wamebaki kuchapisha dollar tu now. Wakitegemea supply zaidi. Na pia wako kwa debt bubble bust. Soon watashuka kiuchumi so wanatafuta kitu cha kusingizia why wameanguka. Ndio corona ilianza kama chambo and now kila akiulizwa buden mambo ya uchumi anasingizia Vita ya Ukraine. Na shosti yake saud hataki kupokea simu.
 
Huyu ni Mchumi kutoka Mchambawima anaeshindana na Nchi inayo control World Bank na IMF.
 
Umeandika kienyeji sana, kama mwanamke wa kizaramo.
 
Biblia zinawasomaji wengi kwahiyo kwako wewe Ile pembe kwenye biblia Ni Marekani na mnyama Ni Marekani. Na lile sanamu aliloota mfalme Ni Marekani huyo huyo aisee utim utakuua kanywe maji ulale.
unabahatisha TU, Ila kasome kitabu Cha Ezekiel 38 yote. Utakuta kitu kinaitwa GOGU NA MAGOGU. Tatizo litakuja hutaweza kutafsiri chochote hapo.ila kukufungua TU Gogu Ni Russia,Iran,China NK.Magogu Ni nchi za Nato,Israel na Marekani.

Hivyo mleta post anajua anachoongea. Unakuta mtu unabishana kuhusu unabii wa biblia wakati biblia yenyewe huijui.
 

Tanzania tumebahatika kuwa na Mtu kama wewe. Vatican na Jerusalem na kwingine WATASUBIRI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…