Kwa sisi tunaoamini unabii tunajua kabisa Russia anashindwa vita hivi

Labda misukule ya mabwapande ila sio Urusi
 
Hivi China ambayo imekuja juu na inaendelea kuwa juu siku hadi siku, kiuchumi na kijeshi huwa iko wapi ndani ya unabii??
 
Mambo mengine ni pigo tu toka kwa Bwana...unaanzisha vita kutesa watu wake utegemee kushinda.Wamekufa sana raia jaman
 
Watakutukana Sana lakn ndo huo ukweli , Urusi hatoboi
 
Kiufupi wale othodox christian ndio watakuwa chachu ya urusi kushinda vita hii. Ni muda tu lakini urusi atashinda tu.
 
Hivi China ambayo imekuja juu na inaendelea kuwa juu siku hadi siku, kiuchumi na kijeshi huwa iko wapi ndani ya unabii??
Inaweza kuwepo kupitia mshirika(Russia)
 
Wanaoshindwa wameanza kutafuta hadi magauni ili wakimbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…