Kwa style ya Uongozi wa Lissu, Heche na Mnyika, Mapandikizi CHADEMA wataaibika na kufeli vibaya sana

Kwa style ya Uongozi wa Lissu, Heche na Mnyika, Mapandikizi CHADEMA wataaibika na kufeli vibaya sana

Kamanda unaijua ccm au unaisikia tu kinywani mwa sugu, heche na lissu?!!!
Mbona tayari mtu yupo humo na anapiga kazi vizuri tu 😄😄😄😄

It's too late. Mwezi novemba 2025 nirejeshe tena kwenye comment hii nikufafanulie...
Jifunzeni kusoma alama za nyakati, hao uliowataja ht ccm inawafahanu vzr
Ht km Wana njaa zao huwezi kuwanunua
 
Chadema ifike mahali ijali itikadi yake ya demokrasia Kwa kuruhusu mawazobadala na kutofautiana mawazo bila kutukanana/kukashifiana

Pia ijifunze kuonesha maendeleo ya kweli badala ya chama cha maendeleo kuwa ombaomba!!

Tonetone ni umatonya na uombaomba live maana michango ingepatikana kupitia kadi za uanachama na uwekezaji wa chama.
Lema analalama wahubiri wanapigwa Hela anasahau hatawao wanazipiga kwakudai michango hovyo
 
Kwa miaka mingi sana, CCM walitumia mbinu hii kwa CHADEMA na walifanikiwa kuweka watu wengi sana CHADEMA kwa ajili ya kuhakikisha Chama hiki hakiwi imara na kuwa mbadala kwa Watanzania. Albert Msando, Petrobas Katambi, Vicent Mashinji na Tumaini Makene ni mfano wa baadhi ya watu tu ambao waliajiriwa na mfumo kwa sababu za kisiasa hasa kuwa Mapandikizi ndani ya CHADEMA na kuhakikisha Chama hiki hakitulii na kushika Madaraka. Hawa walipotoka bado watu wengi sana waliendelea kuwa waajiriwa wa mfumo wa kishetani wa CCM ndani ya Chadema.
1746650116008.png
 
Jifunzeni kusoma alama za nyakati, hao uliowataja ht ccm inawafahanu vzr
Ht km Wana njaa zao huwezi kuwanunua
We Bado mtoto mdogo, ngoja uachwe ukue kwanza lakini elewa comment yangu kwanza...........mwamba yupo humo na ,atunda yanaanza kuonekana😄😄😄😄
Akili kamanda, akili.
 
We Bado mtoto mdogo, ngoja uachwe ukue kwanza lakini elewa comment yangu kwanza...........mwamba yupo humo na ,atunda yanaanza kuonekana😄😄😄😄
Akili kamanda, akili.
Tufanye hivi Ili tuepusha kuongea sn
Muda utaongea.tutulie Kwa ss
Maana Bado kitambo kidogo
 
Kwa namna nchi hii imefika hali mbaya. Tunahitaji siasa za kweli kama za Chadema mpya chini ya Lissu na Heche.

Ni Ushetani uliotukuka kuwalaghai Watanzania kwa siasa za kitapeli.
Kwamba siasa za kweli niza kushika bunduki,kuvuruga uchaguzi...kwanini asianze kuvuruga huko CHADEMA
 
Kwamba siasa za kweli niza kushika bunduki,kuvuruga uchaguzi...kwanini asianze kuvuruga huko CHADEMA
Nani kashika bunduki Chadema? Nani kawaua na kuwapoteza Deus Soka, Ali Kibao, Amani Manengelo, Mdude Nyangali na wengineo?
 
Back
Top Bottom