G
Jifunzeni kusoma alama za nyakati, hao uliowataja ht ccm inawafahanu vzrKamanda unaijua ccm au unaisikia tu kinywani mwa sugu, heche na lissu?!!!
Mbona tayari mtu yupo humo na anapiga kazi vizuri tu ππππ
It's too late. Mwezi novemba 2025 nirejeshe tena kwenye comment hii nikufafanulie...
Kwa miaka mingi sana, CCM walitumia mbinu hii kwa CHADEMA na walifanikiwa kuweka watu wengi sana CHADEMA kwa ajili ya kuhakikisha Chama hiki hakiwi imara na kuwa mbadala kwa Watanzania. Albert Msando, Petrobas Katambi, Vicent Mashinji na Tumaini Makene ni mfano wa baadhi ya watu tu ambao waliajiriwa na mfumo kwa sababu za kisiasa hasa kuwa Mapandikizi ndani ya CHADEMA na kuhakikisha Chama hiki hakitulii na kushika Madaraka. Hawa walipotoka bado watu wengi sana waliendelea kuwa waajiriwa wa mfumo wa kishetani wa CCM ndani ya Chadema.
We Bado mtoto mdogo, ngoja uachwe ukue kwanza lakini elewa comment yangu kwanza...........mwamba yupo humo na ,atunda yanaanza kuonekanaππππJifunzeni kusoma alama za nyakati, hao uliowataja ht ccm inawafahanu vzr
Ht km Wana njaa zao huwezi kuwanunua
Kigogo kwa kuwachezesha rede nyumbu hajΓ mbo Kwakweliπ€£π€£π€£π€£
Tufanye hivi Ili tuepusha kuongea snWe Bado mtoto mdogo, ngoja uachwe ukue kwanza lakini elewa comment yangu kwanza...........mwamba yupo humo na ,atunda yanaanza kuonekanaππππ
Akili kamanda, akili.
Sawa. Acha tutulie!!Tufanye hivi Ili tuepusha kuongea sn
Muda utaongea.tutulie Kwa ss
Maana Bado kitambo kidogo
Kwamba siasa za kweli niza kushika bunduki,kuvuruga uchaguzi...kwanini asianze kuvuruga huko CHADEMAKwa namna nchi hii imefika hali mbaya. Tunahitaji siasa za kweli kama za Chadema mpya chini ya Lissu na Heche.
Ni Ushetani uliotukuka kuwalaghai Watanzania kwa siasa za kitapeli.
Nani kashika bunduki Chadema? Nani kawaua na kuwapoteza Deus Soka, Ali Kibao, Amani Manengelo, Mdude Nyangali na wengineo?Kwamba siasa za kweli niza kushika bunduki,kuvuruga uchaguzi...kwanini asianze kuvuruga huko CHADEMA
Hii ni Chadema ya Lissu siyo ya mboweHivi hayati Lowassa alikua ni mwanzilishi wa CHADEMA au nae alitokea CCM?
Lakini kufika hapo ni kazi ya MboweHii ni Chadema ya Lissu siyo ya mbowe
Na anataka kuiharibu na kuihujumu ila hatawezaLakini kufika hapo ni kazi ya Mbowe
Sio kweli shida hipo kwenye namna ya kuongoza...tulio wapa nafasi kwasasa ni wanaharakati nasio viongoziNa anataka kuiharibu na kuihujumu ila hataweza