Kwa Taarifa hii ya Upigaji kutoka Kwa CAG, naacha rasmi kuitetea Serikali

Aha ha a a karibu sana team Chato tumetumia NGUVU nyingi kukuelewesha lakini ukawa kichwa ngumu na kutukana watu matusi humu.

Serikali ya Awamu ya sita imeoza na inanuka uozo hatari TULISHALIONA Hilo tu alipoanza uteuzi BI TOZO
Siwezi jiunga na milengo ya Kisiasa yaani kiufupi sitaki siasa,nimewahi kuwa mfuasi wa Chadema ila Toka nione walivyosaliti Ile awamu ya 5 niliachana na siasa rasmi..

Kwanza watu kama kina Shonza,Mtala Mwampamba,Silinde,Huyo aloyelia juzi fala yule tulihangaika nae Ukonga nk.
Siasa ni unafiki so Mimi siwezi nimeacha endeleeni wenyewe uzuri mambo ya kufanya hapa Duniani ni mengi..
 
Hamna shidaa ngoja Sisi tuendelee kuisagia kunguni CCM. Sisi ni vijana waatiifu wa magufuli Wala siyo Chadema au CCM
 
Hahaha
Na kura yako wataiba hauna la kuwafanya
 
Ok, umeonesha maturity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…