ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #101
Mbona unatukana una shida gani we dingiHuna ambacho unatetea humu wewe kila siku nikuwatukana Watanzania.
Umebadilisha majina kede kede humu na naona unarudi kule kule nenda mkazaliane na binamu wenzenu huko she*** taip,
Kichwa kikubwa umejaa uji 😁😁Wewe chunga sana na utumiaji wako wa lugha za ukimbari. Baboon mama yako shenzi weee qmmko
Kwahiyo utaikacha pia na ID hii ndugu Sunkcost fallacy?Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
Wewe ni muongo wa kupitiliza. Jamvi unalotumia kufikisha na kusambaza ujumbe wako unatumika kwa Biashara. Unatumia lugha za hisia ilimradi watu tuwe tunajibishana hivi ili uongeze Views na ndio unapopatia mshiko huko.....usijifanye lolote lile.Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Hizo I'd ni vile nilikuwa nakwaruzana na watu napata ban so sitegemei ban tena Kwa sababu mambo ya siasa nawaachia wenyeweKwahiyo utaikacha pia na ID hii ndugu Sunkcost fallacy?
Ndicho kitakacho pasua qmmmk urudi mule. na Huo uji ndio utakaotumika kukusumiza muleKichwa kikubwa umejaa uji 😁😁
Duu umenipa idea ngoja nifanyie kazi kama humu nilishapata followers kumbe huko insta,fb, Twitter,you tube ningepiga pesa..Wewe ni muongo wa kupitiliza. Jamvi unalotumia kufikisha na kusambaza ujumbe wako unatumika kwa Biashara. Unatumia lugha za hisia ilimradi watu tuwe tunajibishana hivi ili uongeze Views na ndio unapopatia mshiko huko.....usijifanye lolote lile.
Una ma id kibao humu na inatia wasiwasi kuwa unatumia automated bots...
Una bahati kuna watu wanakukingia kifua humu kwa sababu unachangia kuleta trafiki.....bahati mbaya unakuja na watu wako walio jaa ukimbari.
Baboon ni lile qmmmk linavyofanana.
Ndo ujifunze,Hizo I'd ni vile nilikuwa nakwaruzana na watu napata ban so sitegemei ban tena Kwa sababu mambo ya siasa nawaachia wenyewe
Kwanza sio Mtanzania. Hana utanzania wowote ule.Ulikua hodari sana wa kuitetea serikali,wanaojua mambo wakawa wanakucheki wanasema huyu anapuyanga mitandaoni huku wanaofaidika ni wengine.
How, ongeza nyama kdg.TCRA wamchunguze huyu, haya madubwasha ni hatari kwa Usalama wa Taifa...and I hope Ofisi ya Takwimu ya Taifa Tanzania wametoa mwongozo hapa Jamvini.
Now I got u.Kwanza sio Mtanzania. Hana utanzania wowote ule.
Kama ujambazi wa kimtandao ni sifa huyu anakwalifai maradufu
Mkuu HONGERA kwa kujitambua.Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
Hayo siyajui. Ila huyu anatumia ujanja ujanja kuvutia Views ili alipwe huko anapofanyia ujambazi wake. Tatizo lipo kwenye numbers. Jamvi analotumia na Jamvi hili yanaongozwa na Views au ndipo JF inapoelekea. Siwezi kumjibia Max...yeye afanye tafiti zake mwenyewe. Ila awatizame baadhi ya watu wake wanaoweza kuwa wanaacha vitu ambvyo vipo dhahiri na wenye uweledi Tehama.Codes zake za mapicha zinaweza fungua codes za member wa JF under Max?
Nani atashiriki kutengeneza katiba mpya, atatumia njia gani kuandaa katiba mpya, atatumia rasilimali zipi kufanya kazi hiyo ya kutengeneza katiba, na hizo rasilimali zitatoka wapi na kwa nani?Katiba mpya,ndio itaweka mifumo sahihi.
Kwani kuna mwaka ambao CAG hajawahi kuibua madudu? Umesahau repoti ya mwaka wa fedha 2020/2021? Madudu yalijaa kibao pia.Aha ha a a karibu sana team Chato tumetumia NGUVU nyingi kukuelewesha lakini ukawa kichwa ngumu na kutukana watu matusi humu.
Serikali ya Awamu ya sita imeoza na inanuka uozo hatari TULISHALIONA Hilo tu alipoanza uteuzi BI TOZO
Alisema mnakula sana hadi mnavimbiwa, toshekeni. Kuleni kwa urefu wa kambaHivi serious kabisa pale alikuwa akimaanisha haya tunayoyasikia sasa au mi ndiyo nilielewa vibaya?
Kwani nani alikuwa anahitaji misaada wako kwenye utetezi? Au unadhani kuna aliyekuwa anajua hata unaitetea serikali?Ndo nimeacha sasa