nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua.
Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza kufuatilia kwenye mitandao.
Shida inaanza wakianza upelelezi japo sio mapolisi wote