Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Harmonize kwa sasa anatafuta funs base yake, kwa hilo siwezi shangaa ila zuchu anatumia funs wa WCB na wala sio shabiki zake..unatakiwa ufahamu hilo mkuu..
Fanbase, fans!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harmonize kwa sasa anatafuta funs base yake, kwa hilo siwezi shangaa ila zuchu anatumia funs wa WCB na wala sio shabiki zake..unatakiwa ufahamu hilo mkuu..
Kama Cheed na Killya au sio Spartcus Mnyama mkali.Umemaliza kila kitu.. Na huo ndo ukweli
Funbase ndio nini mkuu?Harmonize kwa sasa anatafuta funs base yake, kwa hilo siwezi shangaa ila zuchu anatumia funs wa WCB na wala sio shabiki zake..unatakiwa ufahamu hilo mkuu..
mkuu tungejikita kumshauri konde ili asizidi kudrop, mbona zamani youtube alifanya vizuri je kwa sasa anakwama wapi?
zirejeeni kauli zenu za nyuma kua harmo kwa sasa ni mkubwa kuliko mondi then uangalie na ulichoandika kama vina uuwiano.Unamaanisha Zuchu ana fan base kubwa kuliko Harmonize?
Harmonize kwa sasa anatengeneza fan base yake sababu ile aliyokua nayo wakati yuko WCB imemsusa.
Zuchu ana views wengi sababu mashabiki wa WCB wanatabia ya kuwasapoti wasanii wote walioko ndani ya label ya WCB.
Hivyo mashabiki wa Platnumz, Vanny boy, Lavalava, Mbosso na Queen darlin wanaboost views kwa Zuchu.
Nafikiri Umeelewa Utopolo wewe.
Samahani kwa kutumia lugha yenye ukali. [emoji3][emoji3][emoji3]
acha namba ziendelee kuwaumbuaHakuna ukweli dogo anawaumiza sana ndo maana mwarabu koko aliuputa mkono wake msibani
mliiaminisha dunia kua konde ni mkubwa kuliko mondi ona sasa mnavyoumbuka dah! poleni sanaIli tuwalinganishe mwambie ZUCHU AJITOE WCB kama HARMONIZE kwanza tofauti na hapo unajitekenya mwenyewe tu.
tumia akili mkuu, kama wanaiba na yeye anazijua mbinu kwanini asiibe akaendelea kuwa juu, we unadhani yeye hapendi sifa yakupiga views wengi? ujue hao views wengi ndo walimpa kiburi akajikuta mkubwa kuliko wakubwa wake bt saivi kashajutia maamuzi yake ni vile tu hawezi sema.Ww ndo unajidanganya na ukitaka kujua unajidanganya tafuta views za harmonize wakati yupo wcb, afu c kuna kale ka mchezo kenu kale
11m kwa nyimbo 7 na 12m kwa nyimbo 5, huoni kama ni aibu kubwa sana ile?Yo are a fool..tofauti ya milioni 11 na 12 ndio unaona kubwa sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
kumficha ukweli harmo ndo mnampoteza zaidi ni bora kuwa wakweli ajitafakari na management yake kuweka mambo sawa.Nyie kwenu msanii diamond tu hata akijamba mtasema ana ushuzi mzuri kuliko wasanii wote..kapitia kwa mameneja ambao hawakuwa na umaarufu coz hawakuwa wanamuziki