Kwa takwimu hizi Harmonize unapotea

Kwa takwimu hizi Harmonize unapotea

Ili tuwalinganishe mwambie ZUCHU AJITOE WCB kama HARMONIZE kwanza tofauti na hapo unajitekenya mwenyewe tu.
 
Ww ndo unajidanganya na ukitaka kujua unajidanganya tafuta views za harmonize wakati yupo wcb, afu c kuna kale ka mchezo kenu kale
 
Nyie kwenu msanii diamond tu hata akijamba mtasema ana ushuzi mzuri kuliko wasanii wote..kapitia kwa mameneja ambao hawakuwa na umaarufu coz hawakuwa wanamuziki
 
Hakuna ukweli dogo anawaumiza sana ndo maana mwarabu koko aliuputa mkono wake msibani
 
Utakufa masikini ukimsubiria kijana wa watu anayetafuta pesa ashuke kimaisha na kimuziki..mana kwa chuki mnayompa ndio mana mna hofu kubwa naye hata mkono msibani hamumpi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu mnamshaur nyie bwanaaa mshaurini jamaa yenu mnaesema kaiteka Africa afu tuzo wanachukua akina BURNA mbna mwanzo alikuwa anapata tuzo nyingi sa hivi hamna kamshaurini sasa achaneni na MMAKONDE.
 
Unamaanisha Zuchu ana fan base kubwa kuliko Harmonize?

Harmonize kwa sasa anatengeneza fan base yake sababu ile aliyokua nayo wakati yuko WCB imemsusa.

Zuchu ana views wengi sababu mashabiki wa WCB wanatabia ya kuwasapoti wasanii wote walioko ndani ya label ya WCB.

Hivyo mashabiki wa Platnumz, Vanny boy, Lavalava, Mbosso na Queen darlin wanaboost views kwa Zuchu.

Nafikiri Umeelewa Utopolo wewe.

Samahani kwa kutumia lugha yenye ukali. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
zirejeeni kauli zenu za nyuma kua harmo kwa sasa ni mkubwa kuliko mondi then uangalie na ulichoandika kama vina uuwiano.
 
Zuchu sijui naimbaga nini. Aliimb kisarawe kusifia ccm sikuelewa kitu
 
Ili tuwalinganishe mwambie ZUCHU AJITOE WCB kama HARMONIZE kwanza tofauti na hapo unajitekenya mwenyewe tu.
mliiaminisha dunia kua konde ni mkubwa kuliko mondi ona sasa mnavyoumbuka dah! poleni sana
 
Ww ndo unajidanganya na ukitaka kujua unajidanganya tafuta views za harmonize wakati yupo wcb, afu c kuna kale ka mchezo kenu kale
tumia akili mkuu, kama wanaiba na yeye anazijua mbinu kwanini asiibe akaendelea kuwa juu, we unadhani yeye hapendi sifa yakupiga views wengi? ujue hao views wengi ndo walimpa kiburi akajikuta mkubwa kuliko wakubwa wake bt saivi kashajutia maamuzi yake ni vile tu hawezi sema.
 
Nyie kwenu msanii diamond tu hata akijamba mtasema ana ushuzi mzuri kuliko wasanii wote..kapitia kwa mameneja ambao hawakuwa na umaarufu coz hawakuwa wanamuziki
kumficha ukweli harmo ndo mnampoteza zaidi ni bora kuwa wakweli ajitafakari na management yake kuweka mambo sawa.
 
Huwa hawajui. Wale wamemezeshwa damu
 
Back
Top Bottom