ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
CCM hakuna nafasi ya vibaraka wa MabeberuAkili hizi unazikuta ccm pekee
Ni ujinga kuamini nchi za middle East ukiondoa nchi za mabeberu katika kushirikiana kiuchumi, kam nchi mnaweza kutoboa kiuchumi
Vijana wa ccm acheni bangi, shauri yenu
Mkuu, Kama Katiba iliitwa ni makatasi kama zilivyo karatasi zingine, na, unayoyatetea ni makatasi kama yalivyo makaratasi mengine,CCM hakuna nafasi ya vibaraka wa Mabeberu
Huko huko ndiko tunako export
Ya mwaka 2019Ya nini?
Wewe hakuna wa kutubabaisha Kwa Sasa huko Ubeberunitakwimu ziko wapi? kuwa soko siyo ishu utapata msururu wa nchi dunia nzima wakitaka kukuuzia bidhaa zao kwa maana kila inapenda kuzalisha ajira kwa watu wao, lkn ubabe uko kwenye exports, kwa maana exports ndiyo inayozalisha ajira na siyo uchukuzi wa gsm kariakoo β¦
Katiba inakusaidia nini wewe?Mkuu, Kama Katiba iliitwa ni makatasi kama zilivyo karatasi zingine, na, unayoyatetea ni makatasi kama yalivyo makaratasi mengine,
Ni mjinga pekee wa kuamini nchi za kiarabu zinaweza kuzivusha nchi zetu hizi masikini katika uchumi wake
Hakuna Beberu kwenye listi yetu na hatubabaishwi na Beberu yeyoteunaelewa maana ya trade? trade ina pande mbili, data ulizoweka zinaonyesha imports, sasa sisi tunauza nini kwenda kwenye hizo nchi kama exports? nchi huwa zinahangaika kutafuta pa kuuzia bidhaa zao ( exports) na siyo kuwa soko la bidhaa za wengine, kuwa soko ndiyo kitu rahisi kuliko vyote ila wewe kuweza pia kuuza kwao bidhaa ndiyo kitu cha kujisifu, ndiyo maana huona nchi makini kiongozi akifanya ziara anakwenda na wafanyabiashara lengo huwa ni kuangalia jinsi ya kupata soko la bidhaa zao kwenye hiyo nchi, watu makini hawafanyi ziara na bongo movie unless kama unataka kuuza bongo movie kama exports kwenye hizo nchi.
isitoshe ngoja nikusaidie kidogo, ni hivi kila bidhaa unayonunua kariakoo gsm unazalisha ajira kule ilikotengenezwa, umeshawahi kujiuliza au hata tu kulielewa hilo ?
Trade is not and has Never been a Zero Sum Game....; Ila haimaanishi tununue hata vile tunavyoweza kutengeneza / kukidhi..., i.e. We should buy elsewhere what will cost us more to make than to buy..., Ila Upuuzi wetu ni mpaka ile miradi ambayo tungeweza kufanya na kutumia hata pesa zetu bado tunakopa (yaani sio tu kuhitaji / kutumia foreign currency, bali mwisho wa siku tunalipa Riba)nimeelewa sana, hakuna binadamu dunia hii mwenye akili timamu anayeweza kujivunia imports, unaweza import ktk nchi yoyote ile dunia hii kwani kila nchi inapenda ku export ili kukuza chumi zao na hakuna anayegombania imports kwa maana imports zinaharibu uchumi wa nchi, ili nchi iendelee ni lzm ibalance exports vs exports, hivyo kama hizo nchi zinaongoza kuleta bidhaa tanzagiza ilipaswa na sisi pia tuuze bidhaa kwenye hizo kama exports hapo ndiyo mtu anaweza kujipiga kifua, lkn siyo kugeuzwa soko la bidhaa za wengine halafu unajisifu β¦
Utasemaje katiba haisadii ilihali imekupa uhuru wa kutoa maoni yako kama ulivyotuletaa hapa mambo ya kusadikika?Katiba inakusaidia nini wewe?
Kwani bila Katiba sitoi maoni?Utasemaje katiba haisadii ilihali imekupa uhuru wa kutoa maoni yako kama ulivyotuletaa hapa mambo ya kusadikika?
Halafu tunajivunia import apart from export? Hii nchi tumelogwa? Wao wana import halafu sisi tuna export nini?Ni wazi Tanzania inashirikiana zaidi kiuchumi na Nchi za Asia ya mbali na Middle East Kibiashara na kiuchumi kuliko Nchi za Mabeberu.
Kwa data hizi hakuna Nchi yeyote ya Kibeberu inaweza yumbisha Tanzania.
Huu ni ujumbe tosha Kwa vibaraka wao ,wasome na waelewe.ππ
View: https://www.instagram.com/p/DE5ADBGIgTK/?igsh=bjVwejJ2bDN3dW1r
Hakuna kituBeberu si ndio mwenye mbegu lakini?ukikubali kuwa jike lazima upandwe tuu
Tuna exports sana ππKufurahia imports badala ya exports ni dalili ya changamoto ya afya ya akili.Punguza kula wanga asubuhi Hadi usiku Kila siku.kula ugali Kila siku Huwa unatabia ya kupunguza uwezo wa kufikiri
Aisee shangaa na wewe mimi nimepigwa na bumbuwazi huyu jamaa akili zake zipo Sawa?Kufurahia imports badala ya exports ni dalili ya changamoto ya afya ya akili.Punguza kula wanga asubuhi Hadi usiku Kila siku.kula ugali Kila siku Huwa unatabia ya kupunguza uwezo wa kufikiri
port USD 16.5 B then export usd 15.5 bado kama nchi tuna safari ndefu aiseeTuna exports sana ππ
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1878708548810781019?t=dVbldZ8VaHjWb2M2UdY7iw&s=19
Source ya Dola ni dhahabu, utalii na korosho kwa kiasi kikubwa, dola ni medium tu ya Exchange ila in reality tunanunua Mafuta, na bidhaa nyengine kupitia Dhahabu, Korosho na Utalii kwa kiasi kikubwa.Sasa tuambie sources ya hizo dollars tunazotumia kufanya hìzo imports