Kwa takwimu hizi, hata tukizinguana na Mabeberu Hakuna Hasara Kama Nchi Tutapata.

1. Watalii wa Tanzania wengi wanatoka nchi zipi?
2. Exports nyingi za Tanzania zinaenda nchi zipi?
Watalii Tanzania ni Mix sina data ila I think bara ni Usa sitashangaa kama Urusi wametawala utalii hasa Znz, Export pia sina uhakika I think India ni zaidi, mazao mengi Tanzania tunauza India, Hata Madini Tanzanite yamejaa India,
 
hizo ni imports halafu unajivunia? watanzagiza bhana akili zoote gsm hadi huruma, na una export nini na wapi ?
Nadhani mleta hoja anatufahamisha kuwa nchi za magharibi zimeishapoteza influence kwa nchi nyingi za Africa ikiwemo Tanzania kwa nchi za Asia na Arabuni.
Hata ukiangalia Ulaya na Marekani ya leo ukailinganisha Miundo mbinu ya China,Singapore, UAE,Japan,South Korea unagundua jua linachomoza kutokea mashariki kwenda magharibi.
 
Japan ni western kundi moja na usa na eu isitoshe hizo nchi ulizozitaja zote main trading partners wao ni western Christian countries na siyo afrika au unafikiri uae anategemea soko la kuuza mafuta yake kwa wingi afrika? unafikiri china anauza wapi bidhaa zake? hivyo tunarudia kule kule tulikotoka na kwa nini sisi bado ni backward tunabakia hivyo, dunia nzima inatrade wanabadishana technology and know how na kuboresha maisha ya watu wao, afrika inagombea na kubadilisha mabwana kila siku mara mashariki, mara sijui kusini tumekuwa tukifanya hivyo tangia uhuru na bado ni backward tu.

kwa taarifa tu >80% ya mint students kwenye elite universities za usa ni asians, kwa nini unafikiri? kwa nini isiwe afrika? kwanza afrika hata wanasoma english maisha yote klk china …
 
Maneno mengi yasiyo na mantiki.🇹🇿 Sio tena koloni la Mabeberu,hatuna ishu nao
 
haha kesho utaposti imf au sijui world bank wamesifia uchumi wa tanzagiza btw watalii wanaojaa zanzibar wanatokea wapi? uturuki au dubai?
 
Japan ni western kundi moja na usa na eu isitoshe hizo nchi ulizozitaja zote main trading partners wao ni western Christian countries na siyo afrika au unafikiri uae anategemea soko la kuuza mafuta yake kwa wingi afrika? unafikiri china anauza wapi bidhaa zake? hivyo tunarudia kule kule tulikotoka na kwa nini sisi bado ni backward tunabakia hivyo, dunia nzima inatrade wanabadishana technology and know how na kuboresha maisha ya watu wao, afrika inagombea na kubadilisha mabwana kila siku mara mashariki, mara sijui kusini tumekuwa tukifanya hivyo tangia uhuru na bado ni backward tu.

kwa taarifa tu >80% ya mint students kwenye elite universities za usa ni asians, kwa nini unafikiri? kwa nini isiwe afrika? kwanza afrika hata wanasoma english maisha yote klk china …
My dear comrade umetoa majibu.
Labda nikupe machache.
Mwenye pesa anakua na influence.
Leo Lissu akiomba na kila mara anaomba Tanzania ifilisiwe kupitia kwa Amsterdam.
Yule fupi alitaka tukate tamaa kwa siasa za wavivu wa kutenda.
Tunamsubiri huyo mbilikomo tumpe vipande vyake Amanda
 
Nadhani mleta hoja anatufahamisha kuwa nchi za magharibi zimeishapoteza influence kwa nchi nyingi za Africa ikiwemo Tanzania kwa nchi za Asia na Arabuni.
Hata ukiangalia Ulaya na Marekani ya leo ukailinganisha Miundo mbinu ya China,Singapore, UAE,Japan,South Korea unagundua jua linachomoza kutokea mashariki kwenda magharibi.
Influence ni pamoja na
Dini
Michezo
Muziki
Filamu
Mavazi
Chakula, vinywaji
Misaada
Mikopo
Vitabu
Vyuo,scholarships
WhatsApp, Twitter/X, FB, Instagram, YouTube, Microsoft, Google, Visa Card, Mastercard,
 
Una matatizo ya uelewa wewe,hapo lengo la mada ni kuonesha Nchi tunazo trade nazo Kwa asilimia kubwa.
Sawa tuna trade nao trade ni two way traffic ... To na fro... Unavyofurahi kuingiza vingi nchini unaelewa madhara yake katika Balance of trade na Balance of payments kwenye uchumi wa nchi unaoagiza sana kuliko kuuza!?? .... Na unafurahia. Asee
 
Influence ni pamoja na
Dini
Michezo
Muziki
Filamu
Mavazi
Chakula, vinywaji
Misaada
Mikopo
Vitabu
Vyuo,scholarships
WhatsApp, Twitter/X, FB, Instagram, YouTube, Microsoft, Google, Visa Card, Mastercard,
Mkuu influence inaendana zaidi na uchumi.
China yule aliyekuwa anatujengea reli ya Tazara kinyonge akiitwa na " ma men yellow man ndio China huyu huyu ana batiza Western power kwa makaa ya uchumi wa kisasa.
 
Back
Top Bottom