Kwa takwimu hizi, hata tukizinguana na Mabeberu Hakuna Hasara Kama Nchi Tutapata.

Kwa takwimu hizi, hata tukizinguana na Mabeberu Hakuna Hasara Kama Nchi Tutapata.

Mkuu influence inaendana zaidi na uchumi.
China yule aliyekuwa anatujengea reli ya Tazara kinyonge akiitwa na " ma men yellow man ndio China huyu huyu ana batiza Western power kwa makaa ya uchumi wa kisasa.
World Bank na IMF ndio wakopeshaji wetu wakubwa zaidi.
 
Sawa tuna trade nao trade ni two way traffic ... To na fro... Unavyofurahi kuingiza vingi nchini unaelewa madhara yake katika Balance of trade na Balance of payments kwenye uchumi wa nchi unaoagiza sana kuliko kuuza!?? .... Na unafurahia. Asee
Hakuna Nchi ya Kiafrika inayouza zaidi ya inachoingiza labda zile Zenye Mafuta .

Swala la msingi ni kwamba hatufanyi nao biashara Kwa ukubwa
 
Waseme trade on what and how!!hiyo no general statement ambayo researcher yeyote anaweza tengeneza akiwa na mlengo fulani!!!

Kama.tuna export goods waseme no goods zipi na kwenda nchi gani Ili wananchi tujue nini Cha kuwekeza!
Kila siku nawapa data hamuelewi ,mna shida sana nyie watu
Screenshot_20250117-153500.jpg
 
Ni wazi Tanzania inashirikiana zaidi kiuchumi na Nchi za Asia ya mbali na Middle East Kibiashara na kiuchumi kuliko Nchi za Mabeberu.

Kwa data hizi hakuna Nchi yeyote ya Kibeberu inaweza yumbisha Tanzania.

Huu ni ujumbe tosha Kwa vibaraka wao ,wasome na waelewe.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DE5ADBGIgTK/?igsh=bjVwejJ2bDN3dW1r

Tulia export China bidhaa Zenye thamani ya Trilioni 4👇👇

View: https://x.com/ChenMingjian_CN/status/1878816121018867902?t=e_EuNlTdp1nf0O5ZE6CvkQ&s=19
 
Wewe kunguni wa mama Abdul niliwahi kuambiwa wakati ule wa dikteta uchwara ulifyekwa kwenye like kwanja la vyeti feki japo wengine walionewa ila wewe naona ilikuwa ni sawa.

Yaani unajivunia imports unasema unakuza uchumi na hautetereshwi bila kujua imports zinanufaisha hizo nchi unaponunua bidhaa?

Ni common sense ndogo hata bila kupitia Economics 101 kujua imports zina matokeo kwa nchi zinazozalisha kuliko zinazonunua.

Ni wakati wa Lumumba kupiga msasa machawa mnaowatumia na sio kuwapa links/screenshots wao watabeba na kusema uchumi uko imara mama Abdul anaupiga mwingi.
 
Trump kaishasema Hana mpango na Africa, atapunguza na kukata mchango wake shirika la afya duniani (WHO).
 
Back
Top Bottom