World Bank na IMF ndio wakopeshaji wetu wakubwa zaidi.Mkuu influence inaendana zaidi na uchumi.
China yule aliyekuwa anatujengea reli ya Tazara kinyonge akiitwa na " ma men yellow man ndio China huyu huyu ana batiza Western power kwa makaa ya uchumi wa kisasa.
Hakuna Nchi ya Kiafrika inayouza zaidi ya inachoingiza labda zile Zenye Mafuta .Sawa tuna trade nao trade ni two way traffic ... To na fro... Unavyofurahi kuingiza vingi nchini unaelewa madhara yake katika Balance of trade na Balance of payments kwenye uchumi wa nchi unaoagiza sana kuliko kuuza!?? .... Na unafurahia. Asee
Tutakopa Brics au huko huko AsiaWorld Bank na IMF ndio wakopeshaji wetu wakubwa zaidi.
Semeni mtakopa China. Brazil, Russia, India na South Africa hawana pesa za kuwakopesha. BRICS wameshindwa kuweka hata pesa ya mboga AfDB.Tutakopa Brics au huko huko Asia
Waseme trade on what and how!!hiyo no general statement ambayo researcher yeyote anaweza tengeneza akiwa na mlengo fulani!!!
Halafu huo ushirika ndio utamtoa mama kwenye kutia nia!!Ni wazi Tanzania inashirikiana zaidi kiuchumi na Nchi za Asia ya mbali na Middle East Kibiashara na kiuchumi kuliko Nchi za Mabeberu.
Kwa data hizi hakuna Nchi yeyote ya Kibeberu inaweza yumbisha Tanzania.
Huu ni ujumbe tosha Kwa vibaraka wao ,wasome na waelewe.ππ
View: https://www.instagram.com/p/DE5ADBGIgTK/?igsh=bjVwejJ2bDN3dW1r
Kila siku nawapa data hamuelewi ,mna shida sana nyie watuWaseme trade on what and how!!hiyo no general statement ambayo researcher yeyote anaweza tengeneza akiwa na mlengo fulani!!!
Kama.tuna export goods waseme no goods zipi na kwenda nchi gani Ili wananchi tujue nini Cha kuwekeza!
Tulia export China bidhaa Zenye thamani ya Trilioni 4ππNi wazi Tanzania inashirikiana zaidi kiuchumi na Nchi za Asia ya mbali na Middle East Kibiashara na kiuchumi kuliko Nchi za Mabeberu.
Kwa data hizi hakuna Nchi yeyote ya Kibeberu inaweza yumbisha Tanzania.
Huu ni ujumbe tosha Kwa vibaraka wao ,wasome na waelewe.ππ
View: https://www.instagram.com/p/DE5ADBGIgTK/?igsh=bjVwejJ2bDN3dW1r