Kwa takwimu hizi, Ramovic hana maisha marefu Yanga

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY.
.
🏟 β€” 76 Mechi
βœ… β€” 27 Ushindi
🀝 β€” 22 Sare
❎ β€” 27 Vipigo
⚽ β€” 82 Magoli ya kufunga
πŸ₯… β€” 68 Magoli ya kufungwa
🚫 β€” 31 Clean Sheet

OFFICIAL: Yanga SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Miguel Gamondi aliyevunjiwa Mkataba hii leo.
.
Msimu uliopita Saed Ramovic aliiwezesha TS Galaxy kumaliza nafasi ya sita kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Nchini Afrika Kusini.
IMG_4276.jpeg
 
View attachment 3153102
Gamondi, Nabi na huyu Fadlu wa Simba walikotoka walikuwa na takwimu zipi za maana? Kocha kuwa na takwimu mbaya anakotoka huwa na sababu nyingi ikiwemo aina ya wachezaji waliokuwa nao.
 
TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY.
.
🏟 β€” 76 Mechi
βœ… β€” 27 Ushindi
🀝 β€” 22 Sare
❎ β€” 27 Vipigo
⚽ β€” 82 Magoli ya kufunga
πŸ₯… β€” 68 Magoli ya kufungwa
🚫 β€” 31 Clean Sheet

OFFICIAL: Yanga SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Miguel Gamondi aliyevunjiwa Mkataba hii leo.
.
Msimu uliopita Saed Ramovic aliiwezesha TS Galaxy kumaliza nafasi ya sita kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Nchini Afrika Kusini.
View attachment 3153102
Huyu ni bonge la kocha, kaitoa Galaxy from nowhere msimu uliopita na kuipeleka top 6, pia Mamelodi hajawah mfunga huyu kocha!
 
TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY.
.
🏟 β€” 76 Mechi
βœ… β€” 27 Ushindi
🀝 β€” 22 Sare
❎ β€” 27 Vipigo
⚽ β€” 82 Magoli ya kufunga
πŸ₯… β€” 68 Magoli ya kufungwa
🚫 β€” 31 Clean Sheet

OFFICIAL: Yanga SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Miguel Gamondi aliyevunjiwa Mkataba hii leo.
.
Msimu uliopita Saed Ramovic aliiwezesha TS Galaxy kumaliza nafasi ya sita kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Nchini Afrika Kusini.
View attachment 3153102
Kuna shida sana hapa.....tuone X Mass atavuka ?? Labda league S.A. iko juuu sanaaa
 
Sababu nyingine na ya msingi ni yeye Gamond kukataa viongozi wasinunue mechi na madawa/sindano za kusisimua misuli ya wachezaji hasa pale timu inaposhambuliwa kwa sababu kocha alikataa hayo yote kwa sababu yanadhoofisha vipaji vya wachezaji
 
Back
Top Bottom