Kwa takwimu hizi, Ramovic hana maisha marefu Yanga

Kwa takwimu hizi, Ramovic hana maisha marefu Yanga

Kocha la kimataifa, wachezaji wapo wa kushato ni yeye tu ajipakulie minyama
 
Nmeamini kutesa kwa zamu.
Huu niwakati wa simba sas.
Hebu mwenye takwimu nzuri za makocha waliowahi kufanya vzr ikiwa kwenye carrier yao ya uchezaji walikuwa magoli keeper. Nipeni data.
 
Sababu nyingine na ya msingi ni yeye Gamond kukataa viongozi wasinunue mechi na madawa/sindano za kusisimua misuli ya wachezaji hasa pale timu inaposhambuliwa kwa sababu kocha alikataa hayo yote kwa sababu yanadhoofisha vipaji vya wachezaji
Mbumbumbu kwenye one and two
 
Sasa tukikutana na tabora utd ya chikola itakuwaje? Kama wakitufunga 3 itakuwaje? Tutamfukuza au tutamvumilia?
 
TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY.
.
🏟 — 76 Mechi
✅ — 27 Ushindi
🤝 — 22 Sare
❎ — 27 Vipigo
⚽ — 82 Magoli ya kufunga
🥅 — 68 Magoli ya kufungwa
🚫 — 31 Clean Sheet

OFFICIAL: Yanga SC 🇹🇿 imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Miguel Gamondi aliyevunjiwa Mkataba hii leo.
.
Msimu uliopita Saed Ramovic aliiwezesha TS Galaxy kumaliza nafasi ya sita kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Nchini Afrika Kusini.
View attachment 3153102
Baada ya wiki mbili tu ataondoka Yanga huyu, usicheze na kibogoyo Mzee Mpili.
 
Kashaliwa kichwa huyo kibonde maji wa ujerumani saidi ramadhani mipasho mtu.
 
Back
Top Bottom