Gamondi, Nabi na huyu Fadlu wa Simba walikotoka walikuwa na takwimu zipi za maana? Kocha kuwa na takwimu mbaya anakotoka huwa na sababu nyingi ikiwemo aina ya wachezaji waliokuwa nao.TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY.
.
π β 76 Mechi
β β 27 Ushindi
π€ β 22 Sare
β β 27 Vipigo
β½ β 82 Magoli ya kufunga
π₯ β 68 Magoli ya kufungwa
π« β 31 Clean Sheet
OFFICIAL: Yanga SC πΉπΏ imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Miguel Gamondi aliyevunjiwa Mkataba hii leo.
.
Msimu uliopita Saed Ramovic aliiwezesha TS Galaxy kumaliza nafasi ya sita kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Nchini Afrika Kusini.
View attachment 3153102
Huyu ni bonge la kocha, kaitoa Galaxy from nowhere msimu uliopita na kuipeleka top 6, pia Mamelodi hajawah mfunga huyu kocha!TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY.
.
π β 76 Mechi
β β 27 Ushindi
π€ β 22 Sare
β β 27 Vipigo
β½ β 82 Magoli ya kufunga
π₯ β 68 Magoli ya kufungwa
π« β 31 Clean Sheet
OFFICIAL: Yanga SC πΉπΏ imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Miguel Gamondi aliyevunjiwa Mkataba hii leo.
.
Msimu uliopita Saed Ramovic aliiwezesha TS Galaxy kumaliza nafasi ya sita kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Nchini Afrika Kusini.
View attachment 3153102
Kuna shida sana hapa.....tuone X Mass atavuka ?? Labda league S.A. iko juuu sanaaaTAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY.
.
π β 76 Mechi
β β 27 Ushindi
π€ β 22 Sare
β β 27 Vipigo
β½ β 82 Magoli ya kufunga
π₯ β 68 Magoli ya kufungwa
π« β 31 Clean Sheet
OFFICIAL: Yanga SC πΉπΏ imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo akichukua nafasi ya Miguel Gamondi aliyevunjiwa Mkataba hii leo.
.
Msimu uliopita Saed Ramovic aliiwezesha TS Galaxy kumaliza nafasi ya sita kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Nchini Afrika Kusini.
View attachment 3153102
Huko mbali. Krismas tu hatiboi.hafiki pasaka
ππππHuyu sio mwigizaji kweli? Kuna series moja ya THE OVAL kuna mwamba anaitwa hanter nahisi ndiye huyu huyu.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Galaxy ni timu la hovyo bin hoi. Yanga wamefukuza manukato wakaleta uvundo.
Huyu ni bonge la kocha, kaitoa Galaxy from nowhere msimu uliopita na kuipeleka top 6, pia Mamelodi hajawah mfunga huyu kocha!