Kwa takwimu hizi, Ramovic hana maisha marefu Yanga

Kocha la kimataifa, wachezaji wapo wa kushato ni yeye tu ajipakulie minyama
 
Nmeamini kutesa kwa zamu.
Huu niwakati wa simba sas.
Hebu mwenye takwimu nzuri za makocha waliowahi kufanya vzr ikiwa kwenye carrier yao ya uchezaji walikuwa magoli keeper. Nipeni data.
 
Sababu nyingine na ya msingi ni yeye Gamond kukataa viongozi wasinunue mechi na madawa/sindano za kusisimua misuli ya wachezaji hasa pale timu inaposhambuliwa kwa sababu kocha alikataa hayo yote kwa sababu yanadhoofisha vipaji vya wachezaji
Mbumbumbu kwenye one and two
 
Sasa tukikutana na tabora utd ya chikola itakuwaje? Kama wakitufunga 3 itakuwaje? Tutamfukuza au tutamvumilia?
 
Baada ya wiki mbili tu ataondoka Yanga huyu, usicheze na kibogoyo Mzee Mpili.
 
Kashaliwa kichwa huyo kibonde maji wa ujerumani saidi ramadhani mipasho mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…