We mzee ulikuwa unaangalia ile mechi ya ngao ya jamii ama?Yanga kaupiga mwingi simba alikua anazuia tu kaponea chupu chupukufungwa ...japo 2nd half alijitutumua.
Duuuh ushabik mandaz huu Ni shida ,yanga ipi wachezaji walikua wanajilaza kupoteza muda? Kipindi Cha pili chote yanga alizidiwa mbinu had wakawa naomba mpira uishe, possession hiyo Ni kupiga pass nyuma ili kupoza mashambuliz toka kwa Simba na kuwatega ili wawafuate alafu wapige counter lakin Simba akawa anamwacha tu yanga ahangaike na tupass twake huko langon kwake na baadae kujilete wenyew then wanashambuliwa hatar ,.Yanga kaupiga mwingi simba alikua anazuia tu kaponea chupu chupukufungwa ...japo 2nd half alijitutumua
[emoji23][emoji23][emoji23]Mdaka mishale Leo kakutana mkuki kutoka kwa Kanoute mpaka kaomba poKwa takwimu hizo, nani kaupiga mwingi leoView attachment 2040806
Kama uliangalia huhitaji kuuliza ila kama ulisimuliwa utakuja na takwimu kama hizo
Air manula alikutana na shuti la saidooo hata kuona hakuliona ni mwamba tu umenusuru. Muwe mna balance matukio[emoji23][emoji23][emoji23]Mdaka mishale Leo kakutana mkuki kutoka kwa Kanoute mpaka kaomba po
###Onyango na Enonga wameupiga mwingi
Agiza mirinda ya watoto na wagonjwa nakuja kulipia mkuu. Huu ni ukweli yaani Simba walijiandaa kupambana na MayeleDunia nzima wenye akili tunajua mechi ikiisha akasifiwa beki ujue hiyo timu walizidiwa. Sasa kama wanaoimbwa ni onyango inonga, means something must be wrong. Simba wameongoza kwa kufanya faulo na kupata kadi za njano tu. Nje na hapo wameshangilia kutoka mayele
Unaongelea Utopolo upi arifuu? Kipindi cha pili simba alikamata mechi, utopolo pumzi ilikata, kujiangusha kupoozesha mchezo...usiongelee ushabiki wako maaandazi.Simba walizidiwa sana kimbinu .that's y faulo ni Mara mbili ya faulo za yanga...but walifanya attempts nying zisizo na madhara
Yanga walituliza Mpira na kufanya attempt za kasi sana
Kolo unasifia mabeki hapo na bado utasema kolo mlicheza vizuri,diarra alipangua ile but manula aliikwepa kama ile ya zawadi mauya[emoji23][emoji23][emoji23]Mdaka mishale Leo kakutana mkuki kutoka kwa Kanoute mpaka kaomba po
###Onyango na Enonga wameupiga mwingi
Air manula alikutana na shuti la saidooo hata kuona hakuliona ni mwamba tu umenusuru. Muwe mna balance matukio
hahaha... Hukuona lile 'tobo '?Hivi wanasifiwa mabeki wa simba kwa kazi nzuri. Maanake ni nini hapa, walikua wanashambulia vzuri?
Dah hatari. Yaani washabiki wa simba ni mbumbumbu. Wanawasifia mabeki kwa kucheza vizuri alafu hapo hapo wanaisema yanga kua ilizidiwa mbinu ikapaki basi. Dahhahaha... Hukuona lile 'tobo '?
Namuhitaji mayele leo alikuwepo uwanjani au huyu kocha mpya wa Simba kajua tiba ya mayele[emoji1][emoji1]