We jamaa Ni kilaza wa kutukuka jamaa kakupa fact unaanza sijui unajiita timu kubwa.No hazidanganyi na hapa unapingana na no wazwaz ,point ya Simba na yanga Nan mkubwa kwa mwenzie ipo pale jamaa alipokupa mfano hai wa daimond ,konde na Ally kiba.
For sure yanga inatembelea upepo wa Simba ,Mara mje na porojo kuwa derby ya yanga ni pale anapokutana na Azam lakin ukweli mnaujua kabisa ,Ni sawa na konde anavyojitutumua kwa diamond lakin ukweli unabak pale pale mondi Ni mkubwa kwa konde kwa statistics.
Huo ukubwa wa yanga upo kwenye kipengele kipi bwashee ,club bingwa mmetolewa mapema Sana kwa kupigwa nje na ndani ,kwenye rank za vilabu Bora bado yanga kaachwa mbali na Simba Sasa huo ukubwa Ni upi? Misimu minne Simba anabeba ndoo mbele ya yanga Tena mfululizo huo ukubwa Ni upi? Ifike mahali tuache ushabik wa kindez ukubwa hauji kwa game moja tu . Unachotaka kusema hapa Basi Namungo Ni kubwa kwa yanga màana anawasumbua Sana mnapokutana na juz kidogo mlie ,refa akatumia hekima ili kuepusha aibu.
Au mfano mwingine Simba huwa anasumbuliwa Sana na Ruvu shooting wanapokutana je hiyo ndio iwe hoja ya kuhalalisha kwamba ruvu Ni mkubwa kwa Simba?watu wa yanga ifike muda tuongee mpira na sio kujitutumua ili tu kulazimisha muonekane wakubwa mbele ya Simba. Kwa Sasa hata rais wa mpira Africa akiambiwa achukue timu kubwa moja kwa kila nchi je Kati ya Simba na yanga Nani atachukuliwa?
Daah mpira wa bongo unahitajika uwe umeshiba udaga kuuzungumzia yaan mtu unaona kabisa hii Ni moja lakin mwingine anakwambia hapana hii Ni Tisa[emoji23][emoji23][emoji23] yaan ukubwa wa timu unaonekana kwa kukutana timu na timu Bali si mjumuiko wa statistics. Toka usingizin acha porojo kubali no zinasema Nini huo ndio ukubwa sio game moja moja.