makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Makolo mnajifariji.....hamuiwezi YANGA[emoji23][emoji23][emoji23]Mdaka mishale Leo kakutana mkuki kutoka kwa Kanoute mpaka kaomba po
###Onyango na Enonga wameupiga mwingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makolo mnajifariji.....hamuiwezi YANGA[emoji23][emoji23][emoji23]Mdaka mishale Leo kakutana mkuki kutoka kwa Kanoute mpaka kaomba po
###Onyango na Enonga wameupiga mwingi
MBUMBUMBU WAPUMBAVU KWELI KWELI....YANI HAYAKUBALI KAMA YAMEZIDIWA PUMBAVU SANA
[emoji3064][emoji3064]Hivi wanasifiwa mabeki wa simba kwa kazi nzuri. Maanake ni nini hapa, walikua wanashambulia vzuri?
Nimeamua nisiendelee tena kucomment baada ya kuona vitu hivi toka kwake:We jamaa Ni kilaza wa kutukuka jamaa kakupa fact unaanza sijui unajiita timu kubwa.No hazidanganyi na hapa unapingana na no wazwaz ,point ya Simba na yanga Nan mkubwa kwa mwenzie ipo pale jamaa alipokupa mfano hai wa daimond ,konde na Ally kiba.
For sure yanga inatembelea upepo wa Simba ,Mara mje na porojo kuwa derby ya yanga ni pale anapokutana na Azam lakin ukweli mnaujua kabisa ,Ni sawa na konde anavyojitutumua kwa diamond lakin ukweli unabak pale pale mondi Ni mkubwa kwa konde kwa statistics.
Huo ukubwa wa yanga upo kwenye kipengele kipi bwashee ,club bingwa mmetolewa mapema Sana kwa kupigwa nje na ndani ,kwenye rank za vilabu Bora bado yanga kaachwa mbali na Simba Sasa huo ukubwa Ni upi? Misimu minne Simba anabeba ndoo mbele ya yanga Tena mfululizo huo ukubwa Ni upi? Ifike mahali tuache ushabik wa kindez ukubwa hauji kwa game moja tu . Unachotaka kusema hapa Basi Namungo Ni kubwa kwa yanga màana anawasumbua Sana mnapokutana na juz kidogo mlie ,refa akatumia hekima ili kuepusha aibu.
Au mfano mwingine Simba huwa anasumbuliwa Sana na Ruvu shooting wanapokutana je hiyo ndio iwe hoja ya kuhalalisha kwamba ruvu Ni mkubwa kwa Simba?watu wa yanga ifike muda tuongee mpira na sio kujitutumua ili tu kulazimisha muonekane wakubwa mbele ya Simba. Kwa Sasa hata rais wa mpira Africa akiambiwa achukue timu kubwa moja kwa kila nchi je Kati ya Simba na yanga Nani atachukuliwa?
Daah mpira wa bongo unahitajika uwe umeshiba udaga kuuzungumzia yaan mtu unaona kabisa hii Ni moja lakin mwingine anakwambia hapana hii Ni Tisa[emoji23][emoji23][emoji23] yaan ukubwa wa timu unaonekana kwa kukutana timu na timu Bali si mjumuiko wa statistics. Toka usingizin acha porojo kubali no zinasema Nini huo ndio ukubwa sio game moja moja.
Ulitaka kujua Nani aliupiga mwingi, angalia ni Nani alisherehekea hiyo sare. Kusherehekewa sare maana yake ni kukiri ulizidiwa na Sasa bora angalao umeambulia hiyo sare.Kwa takwimu hizo, nani kaupiga mwingi leoView attachment 2040806
foul anaongoza shimbaDuuuh ushabik mandaz huu Ni shida ,yanga ipi wachezaji walikua wanajilaza kupoteza muda? Kipindi Cha pili chote yanga alizidiwa mbinu had wakawa naomba mpira uishe, possession hiyo Ni kupiga pass nyuma ili kupoza mashambuliz toka kwa Simba na kuwatega ili wawafuate alafu wapige counter lakin Simba akawa anamwacha tu yanga ahangaike na tupass twake huko langon kwake na baadae kujilete wenyew then wanashambuliwa hatar ,.
Ukweli una Uma nabi alizidiwa mbinu na Pablo ,Hilo halina mjadala kabisa .
Siyo Kutoka Mayele tu, Bali pia hiyo sare wamesherehekea mwanzo mwisho, huko ni kukiri Simba walizidiwa.Dunia nzima wenye akili tunajua mechi ikiisha akasifiwa beki ujue hiyo timu walizidiwa. Sasa kama wanaoimbwa ni onyango inonga, means something must be wrong. Simba wameongoza kwa kufanya faulo na kupata kadi za njano tu. Nje na hapo wameshangilia kutoka mayele
Timu kubwa INAONGOZWA kwenye ligi?Tusidanganyane mkuu, team kubwa kwasasa Africa mashariki ni Simba tu, hii si kwa upendeleo bali namba zinasema hivyo. Simba ipo miongoni mwa team kubwa 20 kama sy 15 Africa, inashiriki mashindano makubwa Africa kwa Sasa katika hatua ya makundi ( sijataja takwimu za misimu 3 nyuma katika mashindano haya), inazingumziwa na na waandishi mbalimbali Africa, ni miongoni mwa team chache ambazo hazikuanzia hatua ya mtoano club bingwa mwaka huu ( Hili si jambo la kubeza). Ni team pekee yenye fan base inayokuwa kwa kasi sana kwenye social media ikiwa kwa upande wa Africa ( takwimu zipo).
Team kubwa ina malengo makubwa kisoka, Simba kwasasa kwa level waliyofikia malengo yao si kuifunga Yanga, bali kuwa bora Africa na kufika mbali katika mashindano ya Africa kitu ambacho kinaisaidia team, kutengeneza wigo mpana wa mapato. Kama ilivyo kwa Harmonize au Ali Kiba kutembea na nyota ya Diamond, ndivyo Yanga anavyotembea na nyota ya Simba kwasasa.
Yanga ni team kongwe, lakini kwa nyakati hizi si team kubwa kama mashabiki wanavyoamini ni Sawa umchukue TID na Diamond, TID ni msanii mkongwe lakini si mkubwa, ukitaka uamini hilo angalia ushiriki wao katika mashindano ya kimataifa.
Huu ndy ukweli mchungu!
Dakika ya 70 halafu una umiliki mdogo asilimia 49?Yanga walitamani mpira uishie dakika 70 maana sio kwa msako ule.
Huyu haelewi. Simba na Yanga ULIKUWA mchezo wao wa 107. Yanga ameshinda mara 38, Simba Mara 33, sare 36. Yanga kamfunga Simba magoli 151, Simba kamfunga Yanga magoli 136. Yanga kachukua ubingwa wa ligi Mara 27, Simba mara 22. Sasa ukubwa wa Simba nu upi?Ww kweli hauna akili, ebu kunywa maji mengi ili kichwa chako kipoe kwanza
Eti Yanga sio kubwa, haya mafanikio ya miaka minne yasikusahalishe ukubwa wa timu ya Yanga
Tumeshinda Derby nyingi zaidi za simba na Yanga
Tuna makombe mengi zaidi ya ligi kuu Tanzania Bara
Tumekufunga magoli mengi zaidi
Hizo bangi mnazovutia kwenye choo zinamadhara sana
Msamehe bure, shule za kata.Ball position = Ball possession.
Timu kubwa INAONGOZWA kwenye ligi?
Hizi statics hawazitakiHuyu haelewi. Simba na Yanga ULIKUWA mchezo wao wa 107. Yanga ameshinda mara 38, Simba Mara 33, sare 36. Yanga kamfunga Simba magoli 151, Simba kamfunga Yanga magoli 136. Yanga kachukua ubingwa wa ligi Mara 27, Simba mara 22. Sasa ukubwa wa Simba nu upi?