Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
hahaha....Dah hatari. Yaani washabiki wa simba ni mbumbumbu. Wanawasifia mabeki kwa kucheza vizuri alafu hapo hapo wanaisema yanga kua ilizidiwa mbinu ikapaki basi. Dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha....Dah hatari. Yaani washabiki wa simba ni mbumbumbu. Wanawasifia mabeki kwa kucheza vizuri alafu hapo hapo wanaisema yanga kua ilizidiwa mbinu ikapaki basi. Dah
Shots on target na shots off target ndio zitakupa jibuDunia nzima wenye akili tunajua mechi ikiisha akasifiwa beki ujue hiyo timu walizidiwa. Sasa kama wanaoimbwa ni onyango inonga, means something must be wrong. Simba wameongoza kwa kufanya faulo na kupata kadi za njano tu. Nje na hapo wameshangilia kutoka mayele
Tukiondoa ushabiki maandazi pembeni.Simba ilikua ikisemwa sana kwa kutokua aggressive wanapocheza na Yanga.Timu ya simba imejaa wavunja kuni watupu ukitaka kulijua hilo angalia hizo fouls, shots off target na Yellow cards
Beki anakuwa sio sehemu ya timu? Kama ndivyo basi.Dunia nzima wenye akili tunajua mechi ikiisha akasifiwa beki ujue hiyo timu walizidiwa. Sasa kama wanaoimbwa ni onyango inonga, means something must be wrong. Simba wameongoza kwa kufanya faulo na kupata kadi za njano tu. Nje na hapo wameshangilia kutoka mayele
Hiyo ni mindset ya timu ndogo ambazo huwa zinakuja kucheza na Simba na Yanga ndio huwa wanacheza fouls nyingi na kukamia mechiTukiondoa ushabiki maandazi pembeni.Simba ilikua ikisemwa sana kwa kutokua aggressive wanapocheza na Yanga.
Nafikiri waliamua jana kua aggressive na hizo namba of fouls unazoziona nafikiri ilisaidia kwasababu kama takwimu zinavyoonesha Yanga hakua tishio kama ilivyotarajiwa.
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Game ya sare hakunaga aliyezidiwa mbinu.Duuuh ushabik mandaz huu Ni shida ,yanga ipi wachezaji walikua wanajilaza kupoteza muda? Kipindi Cha pili chote yanga alizidiwa mbinu had wakawa naomba mpira uishe, possession hiyo Ni kupiga pass nyuma ili kupoza mashambuliz toka kwa Simba na kuwatega ili wawafuate alafu wapige counter lakin Simba akawa anamwacha tu yanga ahangaike na tupass twake huko langon kwake na baadae kujilete wenyew then wanashambuliwa hatar ,.
Ukweli una Uma nabi alizidiwa mbinu na Pablo ,Hilo halina mjadala kabisa .
Angalia nani ana shoots on goal nyingi, ndy utapata jibu lako.Dunia nzima wenye akili tunajua mechi ikiisha akasifiwa beki ujue hiyo timu walizidiwa. Sasa kama wanaoimbwa ni onyango inonga, means something must be wrong. Simba wameongoza kwa kufanya faulo na kupata kadi za njano tu. Nje na hapo wameshangilia kutoka mayele
Hiyo ni mindset ya timu ndogo ambazo huwa zinakuja kucheza na Simba na Yanga ndio huwa wanacheza fouls nyingi na kukamia mechi
Ila timu kubwa siku zote itamiliki mpira vizuri na mchezo walocheza simba utauona kwa Namungo, prison and e. t. c
Mkuu Nakukumbusha tu, ila tunazungumzia mechi ya jana na inabidi utoe maoni kutokana na takwimu za mchezo wa janaTusidanganyane mkuu, team kubwa kwasasa Africa mashariki ni Simba tu, hii si kwa upendeleo bali namba zinasema hivyo. Simba ipo miongoni mwa team kubwa 20 kama sy 15 Africa, inashiriki mashindano makubwa Africa kwa Sasa katika hatua ya makundi ( sijataja takwimu za misimu 3 nyuma katika mashindano haya), inazingumziwa na na waandishi mbalimbali Africa, ni miongoni mwa team chache ambazo hazikuanzia hatua ya mtoano club bingwa mwaka huu ( Hili si jambo la kubeza).
Team kubwa ina malengo makubwa kisoka, Simba kwasasa kwa level waliyofikia malengo yao si kuifunga Yanga, bali kuwa bora Africa na kufika mbali katika mashindano ya Africa kitu ambacho kinaisaidia team, kutengeneza wigo mpana wa mapato. Kama ilivyo kwa Harmonize au Ali Kiba kutembea na nyota ya Diamond, ndivyo Yanga anavyotembea na nyota ya Simba kwasasa.
Yanga ni team kongwe, lakini kwa nyakati hizi si team kubwa kama mashabiki wanavyoamini ni Sawa umchukue TID na Diamond, TID ni msanii mkongwe lakini si mkubwa, ukitaka uamini hilo angalia ushiriki wao katika mashindano ya kimataifa.
Huu ndy ukweli mchungu!
Wewe umeifananisha na kuiweka Simba katika daraja Sawa na Namungo kitu ambacho siyo Sawa na kuipandisha Yanga katika daraja la juu kama team kubwa ( rejea comment yako). Kwahy nilichofanya mimi ni kukuamsha toka usingizini na kukumbusha kwa facts kwamba unachosema kinakinzana na Facts & Stats!Mkuu Nakukumbusha tu, ila tunazungumzia mechi ya jana na inabidi utoe maoni kutokana na takwimu za mchezo wa jana
Unajiita Timu kubwa halafu unaingia uwanjani kwa approach zinazotumia timu ndogo, unacheza fouls nyingi, kadi za njano nyingiWewe umeifananisha na kuiweka Simba katika daraja Sawa na Namungo kitu ambacho siyo Sawa na kuipandisha Yanga katika daraja la juu kama team kubwa ( rejea comment yako). Kwahy nilichofanya mimi ni kukuamsha toka usingizini na kukumbusha kwa facts kwamba unachosema kinakinzana na Facts & Stats!
Huyo Mayele aliyekuwa akihangaika kuhama position kila mara akidhani atakutana na beki mwenye nafuu. Hakuna alichokifanya cha maana Mayele zaidi kila akipigiwa pasi basi inafikia miguuni mwa mabeki wa Simba wana lunyasi.Agiza mirinda ya watoto na wagonjwa nakuja kulipia mkuu. Huu ni ukweli yaani Simba walijiandaa kupambana na Mayele
Baada ya Onyango kuachwa unataka kudanganya umma kwamba hapakuwa na beki mwingine sio?Hapakuwa na athari yoyote kwa Mayele hata angefanikiwa kupita manake Varane alikuwepo tayari.Yani tabu sana. Mfano kuna Makolo wanasema Mayele natuliza leo. Wanasahau kuwa Onyango alilazimika kucheza madhambi.....tena baada ya kupigwa bonge la tobo....na alikuwa anaachwa vibaya