Kwa takwimu hizi za Kariakoo Derby 11 Desemba 2021, nani kaupiga mwingi?

MBUMBUMBU WAPUMBAVU KWELI KWELI....YANI HAYAKUBALI KAMA YAMEZIDIWA PUMBAVU SANA

Utopolo hebu kunywa maji ya baridi usije tufia hapa kwa stress.Maneno yalikuwa mengi kabla ya mechi,sasa hivi mmebaki kubweka hovyo na lugha zisizo na staha,na bado Ubingwa unakwenda Msimbazi.
 
Nimeamua nisiendelee tena kucomment baada ya kuona vitu hivi toka kwake:

Ball possession anasema ball position

Team kuwa Quarter finalist siyo jambo kubwa na wala si mafanikio, anasahau Simba ndiyo inazipigania nafasi 4 za ushiriki kwa nchi kwa Sasa.
 
foul anaongoza shimba
 
Siyo Kutoka Mayele tu, Bali pia hiyo sare wamesherehekea mwanzo mwisho, huko ni kukiri Simba walizidiwa.
 
Ukishasikia man of the match amekua beki basi kuna nn tena hapo? Ujue mambo yalikuamagumu kupelekea beki awe anacheza sana kuokoa michomo mingi. Dah, enzi za mapenz ya mpira wacha kba

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Timu kubwa INAONGOZWA kwenye ligi?
 
Huyu haelewi. Simba na Yanga ULIKUWA mchezo wao wa 107. Yanga ameshinda mara 38, Simba Mara 33, sare 36. Yanga kamfunga Simba magoli 151, Simba kamfunga Yanga magoli 136. Yanga kachukua ubingwa wa ligi Mara 27, Simba mara 22. Sasa ukubwa wa Simba nu upi?
 
Hizi statics hawazitaki
 
Hapa hakuna muafaka. Simba ilicheza sana sasa mnataka waache kwani kazi za mabeki ni nini?.kila mtu aipambe timu yake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…